Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,395
- 5,810
imagine Tanzania being put in the same development category as Yemen, Afghanistan and Somalia? nahama hiyo nchi ya wazembeHawaipendi kusikia ati bado wanakuwa categorized as Least Developed Country π€£π€£π€£π
Not for Gor Mahia.
Kenya is not LDC bwanaπ€£π€£πKwa mantiki hiyo hata uchumi wa Kenya unakuwa supervised na UN sio WB na IMF?
But you don't have food to eat, Agriculture in Kenya mainly for tea and cut flowers which can't bring enough foreign currencies in the Country.
Tomorrow you are going to kill each other just because of ungaKenya is not LDC bwana[emoji1787][emoji1787][emoji23]
Hehe....hatutambui hizo weak leagues like Tanzania......a country ranked 150 by FifaNot for Gor Mahia.
View attachment 2557573
Stable power ni mambo ya kijinga? Ama ni vile mmezoea blackouts mnadhani kila nchi blackouts ni basic need?ππ€£πKenya power ni serikali, kwanini serikali yenu inashughulika na mambo ya kijinga huku ikishindwa kushughulikia mambo makubwa yanayogharimu maisha ya wakenya?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
You don't know anything about Pakistan. Again remember our agricultural output is much better than ya Tanzagiza πππ€£But you don't have food to eat, Agriculture in Kenya mainly for tea and cut flowers which can't bring enough foreign currencies in the Country.
Kenya approeched Pakistan so that you can exchange tea for rice, unfortunately Pakistan rejected the proposal because they value food more than drinks
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hata election pia mlingoja watu wakufe, Kuna mwenye alikufa? Tomorrow you will be disappointed big timeπππ€£π€£.Tomorrow you are going to kill each other just because of unga
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Thanks for celebrating garage instead of assembly or fabrication plantπππ€£ππ.
NonsenseMombasa has better and wider roads than this kienyeji of yours.
View attachment 2557103View attachment 2557105View attachment 2557106
There's no sport Tanzagiza can do better than Kenya.Hehe....hatutambui hizo weak leagues like Tanzania......a country ranked 150 by Fifa
Saaa Nairobi iliojaa slums Arusha ijifunze uko nnThese Tanzanian town aerial views tell the whole story.....very ugly and unplanned......maybe it's only Arusha that got it right because of its proximity to Nairobi
Walipa kodi ni wachache Tz, watu wengi uchumi wao hauchangii kwenye kodi,wafanye kutafuta izo sekta na kuzibanaMkuu ukusanyaji wa mapato haupimwi hivyo, unapimwa as a % of GDP, kawaida nchi inapaswa ikusamye 24% ya GDP.
Nchi zenye kukusanya vizuri Kodi wastani zipo 18 to 20%, Kenya wanatuzidi angalau wanakusanya 15%, sisi hatufanyi vizuri katika hilo eneo bado tupo 13%.
Katika ukusanyaji wa Kodi, Tanzania tupo nyuma Sana, hatupaswi kuipongeza TRA katika hili. Huwa wanajiwekea malengo yao na kuyapitsa, Kisha wanajipongeza bila kujilinganisha na malengo ya Dunia.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Madini umetoka nayo wapi Sasa?π
Kwa matokeo ya wiki hii CAF, timu za Sudan zishabolonga.. hawaingii Quarter Finals.. so Tanzania tunapanda hadi hapo nafasi ya nne