How roads in the CBD Should look likeHii picha hua inawakera sana majiraniView attachment 2557740
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Safi this is good tuna imrpove Alevel eductation i hope zitajenga maabara pamoja na ku equip na ICT
Wao wanatume ya umwagiaji maji ya washawasha na teargass π€£π€£π€£π€£
Na hapo hapo ongeza yanga 1.5b haier mdhamini wa mechi sita za makundi ππ
Fafanua kidogo mkuuπSisi tunaenda mbele wenzetu wanaandamana wapate ugali
Hua mnapenda league za kitoto sana, sasa hapo tofauti ni nnHow roads in the CBD Should look like
View attachment 2559409
Tanzania yangu,Mungu ibarikiπππΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏBLOCK FARMING MODEL
Tanzania tunaendelea kusonga mbele. Wao wanaandamana sisi tunaenda na Block Farming
Kuna account kwenye twitter inaitwa Tanzania Bound Buses imaalikwa kwenye uzinduzi wa kuunganisha magari hapa TZFafanua kidogo mkuuπ
Ni π₯π₯π₯ Kila Kona ya Tanzania ,mpunga upo πSi Mchezo, Samia kaamua kutokomeza njaa na kuongeza ajira za uhakika kwenye kilimo.