Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dodoma airport runway na sio msalato int airport so dodoma itakua na airport mbili[emoji1241]
Sisi tunaonesha mambo ya msingi wao wanaonesha vijengo viwili vitatu imeisha iyoo, na vijimaneno viiingiiii, vipaumbele vya hizi nchi ni tofauti sana thus y moja ni failed state moja ni country and nation as well.
 
Waache waendelee kupigana sisi tunazidi kuchukua wateja tu, na electrified SGR ikiisha maana yake ndiyo kifo rasmi cha Mombasa port [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Soma ume.koti nini na umejibu nini [emoji2957][emoji2957]
Lengo langu ilikuwa kufikisha ujumbe kwamba SGR italeta ushindani kwake, sema kosa langu nimeanzia katikati na kusikutaja madhaifu yake.

Mabasi yao ni mazuri, madereva wana kauli nzuri ila sasa kuna sehemu wana mapungufu inabidi wayarekebishe ili waende sawa na wengine.

Ni kama route ndefu hajaizoea. Dar lux tulimshauri lakini hakusikia i sasa hivi yuko wapi?

Ebu fikiria mnapanda basi Urafiki mkifika Mbezi mnafaulishwa ili mpande basi lingine la kwenda Bukoba au Musoma, kwenye kupanda hakuna anayejali mizigo ya abiria, ni usumbufu tu.

Mnaanza safari mkifika Morogoro mnapelekwa gereji kwao kujaza mafuta, hapo hapo nje kuna magenge mnaambiwa mnununue chochote.

Pamekaa kiswahili sana,vitu ni local,wakimaliza kujaza mnaingia ndani ya basi safari inaanza hao mpaka Kahama wanaamua kulala hapo hapo mpaka kesho alfajiri ndio mnaanza safari.

Njiani sasa basi ni kama daladala kuna abiria wanapanda na kuku, kuanzia Kahama,Nyakanazi, Biharamulo, Muleba kote huko ni kusanya kusanya. Mpaka mfike saa 7 mchana au saa 8 kasoro. Kumbuka ambao hawakulala Kahama wanafika saa 12 alfajiri.

Sasa hata kama wewe unampenda Abood karaha hizi utazivumilia?
 
Ndo mana wanasema una akili ndogo..
Abood anapiga route ya Dar-Moro na Dar-(isaka)-Bukoba.. na huko kote SGR itaenda.. ndo alichokuwa anaongelea ila kwa akili yako ndogo unaona kaongea kitu ambacho hakihusiani na ulichopost
Ahsante kwa kunielewa mkuu [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Wanaweza Kuondoka kabisa Sokoni maana kukaa kwenye basi masaa 13-16 vs masaa 6-8 Kuna nafuu kwenye Sgr unless nauli zisiwe rafiki.
 
Waache waendelee kupigana sisi tunazidi kuchukua wateja tu, na electrified SGR ikiisha maana yake ndiyo kifo rasmi cha Mombasa port [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna wageni wameondoka Kenya baada ya haya maandamano ,waje Tanzania nchi ya amani hakuna maandamano wala mgomo wowote.
 
Roads being commissioned everywhere
As people concentrate na ujinga tu wa media kwa ground a lot is happening then later utaskia watu wakiuliza 23,000 kms zikitoka wapi . Soon itakua 30,000 kms hehe

Za kudanganywa na wanasiasa 🀣🀣🀣 ndio maana akili zenu zimeshikwa na viongozi mafisadi 23000km kwa barabara gani mlizonazo uozo mtupu ikiwa GDP yenu hamuihamini itakua hzo barabara
 
We uswazi kila upande
Nioneshe uswazi hapo iko wapi?? Au mumekariri maisha vile muna slums za ajabu dunia hii 🀣🀣

Eti mzungu anafunga safari kutoka america kuja kushangaa slum vile watu wanaishi mbona hawaji tanzania basi🀣
 
Wakenya wote nendeni muandamane tunawatakia heri nyingi sisi tuko busy kidogo na nchi hii πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
🀣🀣🀣🀣🀣 nimecheka kwa nguvu sana
 
Sasa ile gari moshi inatumia masaa 5 wakat bus ni 8 hrs tofaut yake ni nn??πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
From msa to nairobi naul ya bus ni 1200ksh to 1500ksh ile mitungi ya gongo sijui kwa sasa vile hata hela ya fuel hawana wanaomba serekali iwape pesa ya fuel 6.2b ksh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…