Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hasara ikipungua maana yake shirika linafanya vzr linaanza kufunguka zaidi yani ukiona hasara inapungua kwa almost 50% ndani ya mwaka mmoja ujue ni gap kubwa sana hasa kwenye airline business

Hata ukiumia haisaidii wala huwez zuia πŸ˜†πŸ˜†
Sasa shirika inafanyaje vizuri kama haijaitengeneza faida tangu ianzishwe?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
 
Sasa shirika inafanye vizuri kama haijaitengeneza faida tangu ianzishwe?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
Tangu ifufuliwe imepunguza hasara kwa mwaka mmoja jambo ambalo ni kubwa sana kwenye aviation industries almost 50% yani ni jambo la kihistoria

Na pia ni jambo la kihistoria shirika kupata hasara from 16b to 39b hii sijawah kuiona πŸ˜†πŸ˜†
 
1977 up to date ni 46 yrs. Hasara kila mwakaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Nishamalizana na ww sibishani na chizi anaejitia uhayawani πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Chizi ni wewe mwenye hajui kwamba ATCL haijaitengeneza faida tangu ianzishwe in 1977πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
Ramadhan cup inafanya vzr kuliko ligi kuu ya kenya πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Ramadhan cup inafanya vzr kuliko ligi kuu ya kenya πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Unatoroka unapenda wapi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£ I want you to tell when ATCL made a profit since it was started.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
We boya hilo shirika lenu linalopiga routes 4 pekee usiwahi kuiweka sentensi moja na kenya airways inayo fly to more than 60 destinations worldwide
 
We boya hilo shirika lenu linalopiga routes 4 pekee usiwahi kuiweka sentensi moja na kenya airways inayo fly to more than 60 destinations worldwide
Enhh imekua routes 4 pekee jamani mbona kama mutanipiga sasa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Tanzania domestic routes air tanzania ime cover over 80% yani nikikwambia air tanzania inakwenda mwanza 5 to 6 time go and return kila siku unaeza amini weww?🀣 na hapa kuna route ya mpanda sijaiona πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Air tanzania to nairobi, lusaka,harare,kampala,bujumbura,mumbai,china, kigali etc na hapo kuna routes mpya zitaanza soon dubai, south africa and london

ina fly na hasara inayoleta inaweza nunua ndege 4 mpya 737-800 na chenji ikabaki ya kutosha 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Tofauti ni kwamba mmoja anapewa bure mwengine ananunua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…