The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,668
- 99,003
Sisi Tz ni nchi maskini zaidi EA tena fukara kabisa kuliko nchi yoyote EA lkn tunailisha EA, tunafanya miradi yenye thamani kubwa zaidi kuliko miradi inayofanyika nchi zote EA combined na ndiyo nchi pekee EA iliyo install technology mpya katika usafiri wa anga, majini na ardhini (electrifitried SGR, BRT system, modern planes, biggest and modern ship etc) na ndiyo nchi pekee EA ambayo raia wake wana uhakika wa chakula kwa asilimia 100, so bakini na makaratasi sisi tunazidi kujenga nchi mkija kuamka tumeshatoka lower middle income country mpk upper middle income country.[emoji23][emoji23]View attachment 2572461
Kenyans are wealthier than their East African citizens. No wonder they all troop in Kenya to make a living.
Ile siku alisema anatembea na malay.a wa buku tatu ndio siku ambayo nilimdharau sn.If you don’t mind, can you show us your bank account balance? (Screenshot)
Ile siku alisema anatembea na malay.a wa buku tatu ndio siku ambayo nilimdharau sn.
Malaya wa afutatu famasihala nini?Ile siku alisema anatembea na malay.a wa buku tatu ndio siku ambayo nilimdharau sn.
Tena katiba yao mpya iliyo bora Africa nzima inaruhusu🤣🤣No way msikubali wakenya andamaneni kama kawaida jumatatu sio mbali mujitahidi kuandama mpaka tuone ugali juu ya meza 👏
Jamaa ni mpumbavu sana! Nimefata kule kule kumpa zake! Na ninmkenya huyo nyang'au.Hizi comments hapa chini inaonekana zinatoka kwa raia wa nchi mbalimbali.
Kwa maoni yako, unadhani ziko fair kwa rais wetu kumshambulia kiasi hiki?
Good observationHizi hesabu haziingii akilin
2023 mpk 2030 ni miaka saba
Dollar 24Bil = Tsh 57.6 tril
So kwa mwaka 57.6÷7 = 8.2 tril Tsh
Kwahio kwa mwaka watatumia Tsh 8.2 tril? Sijawah kuona wizara yoyote ikitumia tril 5 kwa mwaka. Inayojitahid sana mwisho tril 3
Last time I checked, Tanzania has the highest numbers of Kenya citizens than any African country, and Tanzania is the biggest source of Kenyans' remittances in Africa.Kenyans are wealthier than their East African citizens. No wonder they all troop in Kenya to make a living.
show us yours first Mr RichmanIf you don’t mind, can you show us your bank account balance? (Screenshot)
Yeap and the difference is Kenyans are in Tanzania to make money not beg like your fellow Danganyikans on our Kenyan streets. KCB, EQUITY, MPESA just to name a few companiesLast time I checked, Tanzania has the highest numbers of Kenya citizens than any African country, and Tanzania is the biggest source of Kenyans' remittances in Africa.
Waendelee kuuwana, wapo wengi sana ngoja wapungue watatuletea shida hapa EA kwa wingi wao mana itatusumbua kwenye kuwalisha.Nchi ya shida, mateso na taabu, serikali inashindwa hata kuhakikisha usalama wa raia, hivi vitendo vimetokea jioni baada ya muda wa maandamano kisheria kukamilika.