The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,668
- 99,003
Sahivi wimbo umebadilika kutoka "niletee 1cm ya SGR" mpaka "yetu inafanya kazi" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatutafika kivipi wakati leo ni mwaka wa tano SGR stations zetu zinafanya kazi huku nyie mkibaki kupiga magofu picha
Sasa kwann unatoa machozi ??🤣🤣🤣Mbona niwe na shida na nchi yenye mikebe disguised as military vehicles? Hiyo nguvu nitatoa wapi?
Sisi ndiyo wa kwanza EA kuwa na hiyo kitu.Zilete tuone
Zinafanya kazi gani na hazina pesa hata ya kununua fuel na haijawah kutengeza faida na haitatengeza faida mpala dunia itasmama 🤣🤣🤣🤣🤣Hatutafika kivipi wakati leo ni mwaka wa tano SGR stations zetu zinafanya kazi huku nyie mkibaki kupiga magofu picha
Eti Eldoret to Juba ni vumbi? Huyo kilaza anafaa atoke Tandale atembee.Hii barabara ina lami. Kutoka Nairobi hadi South Sudan border barabara yote ina lami, nchi zote ambazo zina border Kenya zikona barabara ya lami from Nairobi. Ni Somalia tu imebaki, iko under construction.
Huyu Bertin anafanya kazi nzuri sana kuitangaza nchi yetu.Wakenya nyi endeleen kuota tu..
View attachment 2595136
We pumbavu unadhani hapa ni Kenya?Kwahiyo kuvaa kofia ndio kwenda DRC?, au alikwenda peke yake huko DRC?. Kama KDF mmeshindwa luwavukuza M23 semeni Ili Dunia ijue, sisi tuliwafukuza wakakimbilia Uganda ndani ya wiki 3 tu, hivi Sasa KDF wapo kwa zaidi ya miezi 6 lakini M23 ndio kwanza wanazidi kuteka maeneo
Zinafanya kazi gani na hazina pesa hata ya kununua fuel na haijawah kutengeza faida na haitatengeza faida mpala dunia itasmama 🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa revenue ndio profit?? What about expenditures na kwann hakuna pesa ya kununua fuel 🤣🤣🤣👇👇👇
Ingefaa izinduliwe lini? This thing was supposed to be operational like four years agoSahivi wimbo umebadilika kutoka "niletee 1cm ya SGR" mpaka "yetu inafanya kazi" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani ana reason kama ng'ombe vile 🤣🤣🤣
Unadhani tunajenga machuma pekee kama reli yenu? Hiyo reli ina mambo mengi ukiacha kupachika machuma, kuna mambo ya electrification pia kuna mambo ya signal [emoji613] msee, hata hivyo sio kosa lako ni jambo geni huko kwenu, sikulaumu.Ingefaa izinduliwe lini? This thing was supposed to be operational like four years ago
Wacha ujinga wako, Tanzania hatukushiriki katika kikosi Cha EAC huko DRC, jeshi letu liko huko chini ya UN pamoja na South Africa na Malawi baada ya kimaliza kazi ya kuwatimua M23 miaka kumi iliyopita, msilazimishe kutushikirisha katika "failed mission" yenu. Kamwe Tanzania hatiwezi kushirikiana na Kenya "Militarily", never on earth.We pumbavu unadhani hapa ni Kenya?
Na hushangai ujenzi wa SGR unaendelea over 1500km na sasa tunaenda burundi na rwanda pamoja na congo 🤣🤣🤣🤣Ingefaa izinduliwe lini? This thing was supposed to be operational like four years ago