Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,339
- 107,983
Tumeshatangaza tenders kadhaa za Miradi ya PPP na ziko final stage ya ku procure contractors,hapo TanRoads wamekuja kuona Changamoto mlizokutana nazo Ili tuzikabili vilizo..Kenya is King
Ni kama hujaona post za huu mchongo jana au umeamua kuondoka na hii picha kutafuta faraja.?🤣🤣🤣Hii kichwa eti wanaita bullet train 🤣 🤣 🤣
Simba waneshawahi toa mpaka wachezaji 6 tena champions league [emoji16]Kwa wale wa Yanga coodip1
We mshamba hiyo ni cargo electric locomotive. Najua huwezi kujua maana unajitahid kutafuta chimney hapo kama ulivyozoea lakini huoni.Hii kichwa eti wanaita bullet train [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Nilijua ni shamba la mpunga kumbe ni uwanja wa mpira!
View attachment 2599961
Hatari sana
Hivi Hawa wanaochaguliwa kuunda kikodi Bora Huwa wanaoewa zawadi au ni kuwakonga nyoyo tuu?Simba waneshawahi toa mpaka wachezaji 6 tena champions league [emoji16]