Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

duh aisee inasikitisha sana ila kuna mkono wa mtu
 
Hivi hii huwa ni unga huu huu wa Ugali au unga gani ?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wameambiwa hawana chakula kingine, spaghetti hupewa man of the match as a trophy kwenye tournaments zao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ usiombe 'nshomile' akudharau 🀣🀣🀣🀣

 
Dah wanasaga pumba ili wapate unga wa ugali, hii ni noma sana aisee.
 
Kuna mkenya alisema wao hawana shida ya unemployment hvi alikua nani ajitokezeπŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…