ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Hilo ndio tatizo lao, kupost vitu havina faida yoyote kwa jamiiEmbu mposti vitu vya maana vyenye kuinua watu wengi toka kwenye umasikini uliokithiri achaneni na vipicha uchwara vya mji.
Ni mwendo wa vitendo tu, renders tunawaachia majirani
Gari tano kwa mji mzima?
Wakenya Wakenya nawakumbusha hii ni Dodoma, sisi tunaiita Idodomya, msije kusema hatukuwaambia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waambieni hii ni dodoma
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tofauti ya Tanzania na Kunyaland inaonekana hapa, gari la vinywaji limeanguka lakini watu wanaonesha kutojali kabisa, Kunyaland usingeona hata trace ya chupa za soda hapa
Duuhhh aisee kweli Tz hakuna njaa, watu hawana habari kabisa, hiki ni kiwango cha juu kabisa cha uvumilivu [emoji119][emoji119][emoji119]Tofauti ya Tanzania na Kunyaland inaonekana hapa, gari la vinywaji limeanguka lakini watu wanaonesha kutojali kabisa, Kunyaland usingeona hata trace ya chupa za soda hapa
[emoji115][emoji115][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii ni ya kitambo sana kabla hata ya express way ya mchina.Hongereni majirani, nice move.
Yaani Kunyaland hapo wangelokotwa majeruhi waliokanyagana wakigombania soda idadi kubwa kuliko cartons za soda zilizopasuka ๐๐๐๐[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waambieni hii ni dodoma
Thanks for sharing a 2018 videoโฆ. Sasa now post those middle class houses in Tandale from 2018.Hii ndio democracy waliokua wakipiga kelele humu ndani hii ndio laana ya tribalism inayotafuna nyama zao๐๐๐
Wanaotukwamisha ni zambia. Nasikia ukivuka boarder ya tunduma upande wa zambia barabara mbovu .Zimbabwe wamehamia bandari ya dar na kuacha bandari kutumia ya durban kwa sasa zimbabwe inapitisha mpaka gari 20000 bandari ya dar ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐๐
Government offices will be nothing compared to private business Tatu or Konza citiesโฆ. especially ground infrastructure ya Konza ni first world class โฆ nothing like that Ukanda huu wa East and Central AfricaโฆWakenya Wakenya nawakumbusha hii ni Dodoma, sisi tunaiita Idodomya, msije kusema hatukuwaambia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]