Usisahau elevated, surface and underground commuter rail networks zitakuwepo hapo kijijini in 5 years.Hizo basi tano.? [emoji1787][emoji1787] Ikifika 2027 njia zote Kubwa DAR zitakua na BRT lanes already + electric trains [emoji581] + modern stadias.. ooh nilisahau kuhusu DODOMA itakua pia imeshapata football stadium and modern indoor arena.. Kwakifupi hakuna chochote cha ajabu kitakachokua mtaishinda Tz by that time..
Wanauza bei ya juu kupata faida tuu it is not a fast moving currency in Tz thats why the margins are wideKuna bank nimeingia nimekuta (kwa kenya shs)
buying ni 16 Tshs (kamili, no points) na Selling ni 24 Tshs (kamili, no points)
Wachumi. Hii maana yake ni nn? Kwann selling ni 24 Tshs?
Hela ya chakula tuu matatizo ndio mtaweza infrastructure za mbele. Mfano mzuri mlituaminisha kuhusu BRT yenu but we saw it and the rest is history.I admire your BRT though it’s not well organized based on what I regularly see posted on social media …. Lakini bado Nairobi is in early stages of proper mass transit … wait and see what we will unveil… utastuka !
[emoji23][emoji23] TanzaniansI even posted aerial photo …. Can’t you read maps ?… why niseme actual name?… what next?… you want my bank account number too to verify?… Chenzi type..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawana hata mradi moja wa maana unaoendelea alaf bado ndio wapigaj kelele humu ndani 🤣🤣🤣🤣🤣Hela ya chakula tuu matatizo ndio mtaweza infrastructure za mbele. Mfano mzuri mlituaminisha kuhusu BRT yenu but we saw it and the rest is history.
Na hio barabara wameshaanza kuitanua nilipopita dodoma january niliona ujenzi unaendeleaDom
Njia 4 kutoka.Mji wa Serikali Hadi City Centre
BRT Loading
Hizi barabara zote kajenga 'disaster'
Barabara Moja tuu ndio ikikamilika hapo,hiyo ya Ludewa Bado inaendelea na Ujenzi..Hizi barabara zote kajenga 'disaster'
For you to be able to deal with rising cost of living is not lucky my friend but it all boils down to bigger and stronger USA GDP.Inflation and high cost of living is being felt everywhere… lakini maybe our government approach might be wanting… hata the French went onto the streets… I reside in the USA and my food budget has doubled since last year… luckily am blessed and I can deal with it.. but the real hustlers back home are not that lucky … I like Ruto’s idea of subsidized production… let’s wait and see what positive effect it will bring in 2 months time…. If only Tanzanians could speak their minds freely…… there are inflation problems everywhere. The world is one economic village…