The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,668
- 99,003
Ma captain wanaondoka leo kwenda US kuichukua, next week chuma kinaingia.
Na Picha ikionyesha vijumba 8! π π πKenya is building the largest 3D printed estate in Africa in Malindi
View attachment 2632604
Hili suala la bandari ya Dar kuizidi ya Mombasa mbn washakahola wamekaa kimya as if nothing happened, au ndio wamekubali kiaina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
TPDF Headquarters
Inaitwa kimbiza mwizi kimya kimyaβ¦β¦atapiga kelele yeye. Haya mambo tuliwaambia kwamba tukipanua Dar Port by just half of it Mombasa inakufa, nyie jamaa kama mnaweza kujitenga mkakaa mbali na sisi bora mfanye hivyo mapema, tunaenda kuwapoteza kabisa huko mbele.
Wanaugulia!Hili suala la bandari ya Dar kuizidi ya Mombasa mbn washakahola wamekaa kimya as if nothing happened, au ndio wamekubali kiaina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanavyojiongelesha... eti matter of time till Tz overtakes Kenya economically... economy ipi hasa? Hilo lifake GDP?π€£π€£π€£π€£ wanahara tu
Eti Kenya Wana Nabii sio Rais π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ wanahara tu
Hiyo kauli yao ya kujifariji huwa inanikera sana, eti soon "Tz will overtake us" tuwapite mara ngp? Kila kitu kipo wazi kabisa kwa ss.Wanavyojiongelesha... eti matter of time till Tz overtakes Kenya economically... economy ipi hasa? Hilo lifake GDP?
Kwamba economically wametupita?
Hawajajijua tulishawapita kwenye kila kitu siku nyingi sana?