Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unatafakari mawazo yako vizuri kabla ya kuandika? Unaona ni vyema Kwa polisi β€œkuwapoteza” watu Au wananchi kuua mtu?

Hebu niambie athari za jamii unazozisema ni zipo?
Athari za kimaadili sio athari kwenye jamii?
 
Huwez tumia ubabe wa misaada kulazmisha laana zenu ziwe kwa wengine haiwezekani
[emoji1254][emoji1254][emoji1254][emoji1254][emoji122][emoji122][emoji122]
Sasa mbona mnalalamika kwa Marekani kuweka vikwazo?, Wacha tuone kati ya Uganda na Marekani, nani zaidi, niko palee nimekaa ninasubiri kuona nani ataibuka mshindi[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kwan science husema kweli kila jambo??
Hebu wewe nijibu ni kweli science iko perfect kwenye kila jambo ??[emoji28][emoji28][emoji28]

Ikiwa science yenyewe hua ina refer kwenye vitabu vya dini inaposhindwa jambo au mpaka hilo wakwambie pia
Kwani Mungu husema ukweli kija jambo?,

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mbona mnalalamika kwa Marekani kuweka vikwazo?, Wacha tuone kati ya Uganda na Marekani, nani zaidi, niko palee nimekaa ninasubiri kuona nani ataibuka mshindi[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Anaweka vikwazo kwani uganda ni colony yake?? Kwann uweke vikwazo kwenye sheria za nchi nyingine hio ndio democracy wanayoinadi kila siku ulimwenguni au democracy iko africa tu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Yani kisa ww mkubwa uwapangie sheri wadogo alaf unajinadi unaijua democracy

Pale utakaa sana africa na ushoga bado sana tena sana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… na hvi one world order ndio inakufa tena ndio kabisaaa
 
Kwani Mungu husema ukweli kija jambo?,

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
MUNGU akuumbe alaf uwe mjuaji kuliko yeye yani akuumbe akupe na akili kiduchu alaf ujione mjanja kuliko yeye πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… zuia uzee au kifo tuone kweli muna akili ya kwenda

Mpaka leo wanasayansi hawajui nn kuhusu roho wanahangaika kujua roho ni nn πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kwann ukikojoa mkojo wa kawaida uume unakua haujasimama na kwann ukifanya tendo uume unasimama ?? Shida iko wapi?
Uliuliza swali na umejibiwa, kwa taarifa yako sio lazima ufanye sex siku hizi ndio upate mtoto. Hivi unajua kwamba siku hizi "Reproduction is done by cloning?". Mkuu get out of primitivity and get modern scientific knowledge".

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Huyu kituko hata hajiongezi? Nani anamuandikia hotuba na manifesto za kiwaki hivyo? 25k free hot-spots si baada ya mwezi safaricom itashindwa hata kulipa mishahara? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Businesses kubwa saivi kwenye hizi telecommunications companies ni kwenye data sasa akitoa bure inakuaje?
 
Hujajibu bado unazunguka tu iweje ukikojoa kojo la kawaida uume hausimami na kufanya tendo uume usimame ??πŸ˜…πŸ˜… bado unataka kuamini kipumulio cha kutoa kinyesi kitumike kuwapumulia watu kisogoni yani MUNGU awaumbe alaf muwe wajuaji kuliko yeye

Tulitegemea shoga nae abebe ujauzito ili tuamini hio science πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kuweka vikwazo sio demokrasia, ila kuminya uhuru wa raia wako kutokana na mtazamo wa kiimani na kimtazamo ndio demokrasia sio?.

Hakuna kurudi nyuma, nchi yoyote itakayoendekeza sheria kandamizi lazima ikutane na vikwazo, lazima watalegea.

Uganda inashindwa kushughulika na Rushwa, wizi na uzembe katika serikali ambavyo vinasababisha vifo na umasikini kwa waganda, badala yake inashughulika na watu ambao hawana athari yoyote kwa maisha ya watu na uchumi wa nchi

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, huyo Mungu ameumbwa na nani?, Kama Mungu amekuumba hiyo ni Imani yako, kwanini unataka kulazimisha wote tuamini Kama unavyo amini wewe?.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…