Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu, huyo Mungu ameumbwa na nani?, Kama Mungu amekuumba hiyo ni Imani yako, kwanini unataka kulazimisha wote tuamini Kama unavyo amini wewe?.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tuseme binaadamu hajaumbwa so nani anaendesha uhai na umauti nani nani anapuliza roho kwa viumbe au kila kitu kiko by nature πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mm nilijua maswali yangu huwezi jibu ndio maana nikajua utarudi kila mtu awe na imani yake
 
Kama kila nchi inasheria zake na tumekiri kua kila nchi lazma iheshimu sheria za nchi zingine kwann yeye asiheshimu sheria za uganda kama nchi huru inayojitegemea kwann ulazmishe laana zenu kwao pia mbona nchi za kiarabu hawapeleki vikwazo na ndio wana sheria kali duniani?? Au kwasababu wao wanajiweza kwenye kila kitu au shamba la bibi ni africa tu ??πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Mbona france maandamano juzi watu wametandikwa kama wanyama mbona hatujaskia haki za binaadamu au media zao kurepoti kwann africa tu au hzo haki za binaadamu ni kwa ajili ya africa ili kupenyeza uovu wao kwa mlango wa haki za binaadamu???

Iache uganda na uheshimu maamuzi yao kama nchi huru lakini sio kuingilia maamuzi na sheria zao kikatiba sio kwasababu ya ukubwa wenu ndio muonee nchi ndogo kwasababu hazitaki laana mulizonazo

Na mm nashangaa sana kwann ushoga umelengwa sana africa kwann sio nchi zingine au kuna nn nyuma ya pazia ??πŸ˜…πŸ˜…
 
Nani aliyemuumba Mungu?, Jibu kwanza hili swali. Ninajua huna jibu utabaki kutumia vitabu vya dini ambavyo hata walioviandika hawajulikani

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, Uganda haijaingiliwa na mtu, sheria za Uganda zinasema ushoga hapana, na Sheria za Marekani zinasema sheria kandamizi hapana.

Kila nchi Iko na sheria yake, Sasa Kama utekelezaji wa katiba ya Marekani unaleta athari kwa nchi nyingine nje ya Marekani, hilo sio lengo la Marekani, hiyo ni shida ya hiyo nchi kuwa tegemezi, mbona North Korea, Iran, Russia zimewekewa vikwazo lakini hawalalamiki?

Mkuu, nchi yoyote Iko na uhuru na maamuzi yake, wachague kati ya vikwazo au kuachana na hiyo sheria, uamuzi ni wenu, lakini hakuna nchi itakayoachwa bila kupata vikwazo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kwaiyo mkuu unafurahia kuingiliwa kinyume na maumbile?
 
Fungueni Uzi mwingine wa kutetea haki za machoko
 

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna haki ya kuwa shoga mkuu, hata wewe usingependa mwanao awe shoga au msagaji, hata iyo nature mnayosema ndio imesababisha ukawa wewe haijakutengeneza uwe shoga acheni haya mambo ya kutetea tetea ujinga. Nchi yetu hairuhusu huo upuuzi, msiige kila mnacholetewa, nchi zetu za Africa hususan Tanzania hairuhusu haki zilizopitiliza na kama ukiona hutendewi haki nenda kaishi unapoona haki hiyo utaipata lkn hapa kwetu haturuhusu hiyo tabia.

Kila nchi ina utaratibu wake, mm nmekuwa nimekuta hivyo kwamba ushoga hairuhusiwi hapa kwetu na ni fedheha kuwa shoga tangu ngazi ya familia, hiyo elimu yenu mliyopata msiitumie kutuharibia jamii yetu kwa kutuingizia mambo mageni kwetu tafadhali.
 
Duuhh aisee noma sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…