Hehehe.....yanga and simba derbies is the only time you fill your uhuru stadium.Tunazungumzia michezo, Kenya hakuna biashara ya "Sports because Kenyans don't have enough disposable incomes". Watu wengi Kenya wana "struggle" kupata basic needs like food, water, shelter and health.
Mimi niko nje na nafanya kazi vizuri na nawajua Watanzania wengi wanapeta huko Majuu tuache professionalism ifanye kazi yake ule ujinga wa kujuana uwekwe pembeni!Watanzania sisi 80% ya work force ni underperformers! Sio serikali wala sekta binafsi!!
Hali ya utendaji wa kazi na kupata desired results ni ngumu sana nchi hii!
Itakuwa labda wana refer to Skyteam Air France KLM as opposed to Air France alone.Labda wanaongelea kuja terminal III hawa majuha [emoji1787][emoji1787]
Sisi kiwanja kimoja kiko approved na FIFA standards licha ya kuwa navyo vingi je ndugu yangu mkamba[emoji16] nyie mna vingapi ambavyo vipo approved na FIFA ? .Ligi ya kiwanja kimoja, soon kila county itakua na replica kama hizi[emoji1484] wakija kenya simba inafungwa na kariobangi sharks[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2655699View attachment 2655700View attachment 2655701View attachment 2655702
Hizo zenu ni cowshed pitch ndio maana juzi mlilalamika uwanja wa moi hauendani na gharama zilizojenga yaani mmeshindwa kujenga uwanja mkubwa mzuri mkubwa mnachofanya mnazongusha majengo kwenye open pitch mnaita stadium hakuna creativity kabisa kinoru ,moi , hadi ule wa ulinzi stars muundo ni ule uleUmekubali mlijenga taka taka[emoji1787][emoji1787]
Hapo unauliza swali au unauliza jibu? Mali ya Umma ni shamba la bibi ukijifanya unakaza unaondoka wewe ndio maana best practice ni kuwapa private sector Huwa hawatazami sura Wala jina la mtoto wa kigogo..Kwa hiyo yani sisi tumeshindwa kukaripiana na kuwajibishana sisi Kwa sisi au mama hataki lawama za kuonekana anwaendesha watz
Sasa jitu kama lizembe si linaburutwa na kama vipi Lina wekwa kando
Au dp world wakija wanafukuzaa wafanyakazi wote hapo bandarini
Hapa inaonekana mfumo wetu wakielimu umekaa kibiashara sana na sio kutoa wajuvi yaani mtu unaweza kuwa gpa Kali alafu maajabu zero
Mechi za karibuni zilizojaa mwaka 2023Hehehe.....yanga and simba derbies is the only time you fill your uhuru stadium.
Hujajibu swali sports pesa ni ya Kenya ????Tuliwaongezea tax wakatoroka lakini mwishoe walirudi, right now they are one of our biggest taxpayers.
Hapana, ni ya TanzaniaHujajibu swali sports pesa ni ya Kenya ????
Muache tabia ya ku claim vitu si vyenu bwana . Mnaiba mpka nyege nyege festival ya Uganda [emoji16][emoji16].Hapana, ni ya Tanzania
Kwahio kisa Balozi Slaa kapendekeza ndo umeona ni wazo zuri?
Wanipe hata mim.. kuimanage TPA ni simple tu. Na sijui kwanin mnapenda kuwahusu watu wa nje na kujiunderestimate sisi wenyew.
Kiufupi, sisi tunafeli kwenye kuingiza siasa kwenye professionalism za watu. Ona sasa mbobezi Dr Matarajio katolewa TPDC, kawekwa sijui mtu gan. Pia tatizo lililopo kila kiongozi anawaza kupiga, kwasababu anajua kuna namna atalindwa
Mim hizi taasis zetu wangefanya haya yafuatayo tungepiga hatua parefu bila kushirikisha wazungu
1. Wakurugenzi wakuu au tuseme top leader wa taasis yeyote wapewe mkataba wa miaka 3.. 'renewable' kwa vipindi hata tano au zaid(yan yule mzuri aendelee kukaa hapo mda mrefu)
2. Yeyote atakapatikana na rushwa au ufisadi, taifisha mali zake zote, tusioneane huruma hata kama ni ndugu yako.. pia hata wakificha.. kbl ya kushika madaraka, andikisha mali hata za ndugu wawili, ndugu yao akifanya madudu hata mali zao zitaifishwe..
3. Tusioneane huruma hata kama kupitia huyo MD, wew una kamrija unapata.
4. Na mengineyo
Tukifanya hiv tutafika mbal bila hata hao wazungu mnaowahusu wakat elimu yao ndo hiohio tuliyonayo
Mim sikuzote ni mmojawapo ninaoamin hawa wazungu hawana kitu kutuzidi, nimeishi nao, nimesoma nao, nimekaa nao. Nashangaaga sana nikiona sehem mgeni mzungu anahusudiwa, wakat mwingine unakuta ni kilaza wa mwisho huko alikotoka, ila akija huku mnamnyenyekea. Dah, huzuni
Green nets everywhere in parklands
View attachment 2656221
You'll find a high-rise construction at every corner in most parts of Nairobi especially kilimani, eastleigh, south-C and parklands
One of the iconic buildings in Arusha View attachment 2655881
Hii yote ni ufisadi tuu ndo unatuponza mpaka kuwapa kampuni ya nje bandari mama kashindwa kushughulikia ufisadi ni wapewe tu hao dp world kidogo kutakua na afadhaliiKwahio kisa Balozi Slaa kapendekeza ndo umeona ni wazo zuri?
Wanipe hata mim.. kuimanage TPA ni simple tu. Na sijui kwanin mnapenda kuwahusu watu wa nje na kujiunderestimate sisi wenyew.
Kiufupi, sisi tunafeli kwenye kuingiza siasa kwenye professionalism za watu. Ona sasa mbobezi Dr Matarajio katolewa TPDC, kawekwa sijui mtu gan. Pia tatizo lililopo kila kiongozi anawaza kupiga, kwasababu anajua kuna namna atalindwa
Mim hizi taasis zetu wangefanya haya yafuatayo tungepiga hatua parefu bila kushirikisha wazungu
1. Wakurugenzi wakuu au tuseme top leader wa taasis yeyote wapewe mkataba wa miaka 3.. 'renewable' kwa vipindi hata tano au zaid(yan yule mzuri aendelee kukaa hapo mda mrefu)
2. Yeyote atakapatikana na rushwa au ufisadi, taifisha mali zake zote, tusioneane huruma hata kama ni ndugu yako.. pia hata wakificha.. kbl ya kushika madaraka, andikisha mali hata za ndugu wawili, ndugu yao akifanya madudu hata mali zao zitaifishwe..
3. Tusioneane huruma hata kama kupitia huyo MD, wew una kamrija unapata.
4. Na mengineyo
Tukifanya hiv tutafika mbal bila hata hao wazungu mnaowahusu wakat elimu yao ndo hiohio tuliyonayo
Mim sikuzote ni mmojawapo ninaoamin hawa wazungu hawana kitu kutuzidi, nimeishi nao, nimesoma nao, nimekaa nao. Nashangaaga sana nikiona sehem mgeni mzungu anahusudiwa, wakat mwingine unakuta ni kilaza wa mwisho huko alikotoka, ila akija huku mnamnyenyekea. Dah, huzuni
Unalia ukiwa wapi.?Is this a high-rise toilet?
Mbona dirisha zote zinatoshana na dirisha za bafu na choo?