Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Peso- Portuguese meaning money. Contact between Swahili and Portuguese explorers - pesa. UtohoziEti hilo neno "pesa" la wapi
Mungu wangu! Naishia hapo hapo!
Wakenya tunaopigishana nao humu ndani IQ yao no ndogo sana. Yani mpaka najisikia kuachana na huu uzi.[emoji2961]
Pesa zetu ndo zilifungua hizo ofisi za Liverpool, source guardian newspaperHQ ya sport pesa iko wapi?? 😅😅😅 na je inamilikiwa na nani? Ukipata majibu unitag kwanza kenge wewe
Huoni hata aibu?🤣Pesa zetu ndo zilifungua hizo ofisi za Liverpool, source guardian newspaperView attachment 2656427
Akili zimewarudia😂😂Huoni hata aibu?🤣
Kivipi?Akili zimewarudia😂😂
Mdomo Kila mtu anaoKusimamia mambo mbona rahisi tuu, taifisha mali, weka jela, fanyisha kazi ngumu wale wote wanaohujumu uchumi, watu watanyooka. Haya mambo ya kulea wizi wizi ndiyo yanayoharibu nchi, tunao uwezo wa kujiendesha wenyewe.
Unajichosha Bure,Huwa nasema mara zote kwamba Watu wenye Itikadi za Kijamaa ni wapuuzi na hivyo kabisa..Mkuu, kwani tatizo ni management pekee?.
1)Mtaji
2)Utaalamu
3)Network
5)Experience
Hawa DPW wanamiliki zaidi ya Meli 500 za mizigo zikizunguka Dunia nzima kufanya biashara, Wana mtandao mkubwa Sana wa biashara.
Mkuu, hivi mbona hujiulizi inakuaje team zetu za mipira barani Afrika zinafundishwa na wageni?.
Mkuu, hapa Tanzania wafanyabiashara wakubwa 10, unaweza kukuta sisi waswahili ni wawili au mmoja. Afrika Migodi yote mikubwa na miradi yote mikubwa ya Ujenzi inaendeshwa na wageni, Why?.
Leo hii waafrika wakishindwa kutibiwa Afrika wanaenda kutibiwa hukohuko, hasa viongozi, bado wasomi wetu bila kwenda kupata Elimu nje ya Afrika, bado anaonekana hajasoma vizuri, machine na mitambo yote inatoka nje.
Mkuu tuache kujitutumua na kujipiga kifua, kwasasa Afrika bado sana, lazima tuweke juhudi za makusudi tuweze kujitegemea ktk technology na kujisimamia, lakini kwasasa tusijidanganye.
Mengi sana yanatakiwa kufanyiwa ubinafsishaji ,tunapoteza hela kulipa watu wapuuzi huko kwenye mashirika yasiyojitambua..Kusema ukweli kwa muda mrefu nimekuwa nikiwaza juu ya serikali kushirikiana na private sector kwenye ku-run/ku-manage baadhi ya mashirika na taasisi za umma ili kuleta ufanisi in a win-win situation. Kwa hiyo kwangu mimi Kuwapa DP-World kumanage shughuli za bandari zetu (as long as they have a good proved record in the sector) sio jambo baya wala jipya ila tatizo la sisi watz na waafrika kwa ujumla ni mikataba ya hovyo na ya kinyonyaji ambayo nchi zetu zinaingia na hawa private sector tena wengine ni incompetent kabisa/wababaishaji.
Natamani kuona mashirika ya umma kama DART, TRC, Tanesco, na mengineyo yakiingia ubia (partnership) na private sector kwenye ku-run/ku-manage the business part ya hayo mashirika in a win-win situation. Serikali ilishaacha kufanya biashara na pale serikali inapolazimisha kufanya biashara hzi taasisi au mashirika mara nyingi kama si zote huwa ni hasara tu au faida kiduchu sana. PPP ikiwekewa utaratibu mzuri mi naona ndio njia pekee ya mashirika na taasisi zetu zinazofanya biashara zinaweza kukua na kuchangia vizuri kwenye pato la taifa otherwise kila siku tuatakuawa tunaona madudu tu kwenye riport ya CAG.
Wawekewe mazingira mazuri ya uwekezaji itakuwa labda kuna shida somewhere kwenye government
Umeme unazingua.bei ya umeme ni kubwa sana kwa Nchi kama yetu. China unapata unit moja kwa US cents 8.1 Ambayo ni kama shilingi 190 za kitanzania. Lakini hapa kwetu unauziwa unit shilingi 350 ukiongeza na matozo basi unalipia unit sh 370.Waongoze kasi za viwanda sema serikali inazingua sana
Viwanda viwe vingi mbalimbali wasiishie hicho cha pombe ili wakulima wauze kwa sana malighafi ndani na nje hapo tunapunguza ku import . Hizi nido, blueband , nakadhalika .
Hapo inakuwa game over
Mbwa kama mbwa wengine, kwahiyo ukaona uje udanganye humu ukidhani wote tunatokea kibera au babandogo si ndiyo?Pesa zetu ndo zilifungua hizo ofisi za Liverpool, source guardian newspaperView attachment 2656427
Wapi wameandika ilianzia Kenya, au lugha ndiyo hujui.Pesa zetu ndo zilifungua hizo ofisi za Liverpool, source guardian newspaperView attachment 2656427
Hana elimu msenge uyo.
Sasa hizi ni nini.....hii Dar yenu kwa ukweli hata Mombasa inaipiga kuni mbayaWacha kuongea kama unaliwa we kichaa.. 95% of these high rise buildings ni residential [emoji116]View attachment 2656273..unaongea mpaka unanuka mdomo with no facts [emoji1787][emoji1787]