The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,668
- 99,003
Aisee hii picha inaleta uhalisia wa usafi wa mazingira Tanzania, I'm 100% sure hii picha ni ya kitambo sana kwa kuangalia hizo gari (vipanya) mana siku hizi ni kama hazipo, kweli Tz usafi jadi yetu. Ukijaribu kunitumia picha yenye road safi kama hii bila make up huko Nairobi naondoka jamiiforums.Hizi vitu za 1998 huwa mnatoa wapi!!!View attachment 2669507
Waliingia kwenye capitalism kabla ya kuweka taasisi za kusimamia huo mfumo ,matokeo yake ndio hayo Sasa Kila mtu akawa na sharubu..Hivi vitu ni zaidi ya upeo wako mzee! Kuna nchi jirani inaitwa Kunyaland tangu imepata Uhuru imejipambanua Capitalist! Ila ni maskini wa kutupwa! serikali yao haiwezi kulipa mishahara miaka 60 baada ya uhuru na inaugua ugonjwa wa njaa tangu Uhuru miaka nenda miaka rudi!
Tanzania yote imejaa Ivo nissan, kila mahali.Aisee hii picha inaleta uhalisia wa usafi wa mazingira Tanzania, I'm 100% sure hii picha ni ya kitambo sana kwa kuangalia hizo gari (vipanya) mana siku hizi ni kama hazipo, kweli Tz usafi jadi yetu. Ukijaribu kunitumia picha yenye road safi kama hii bila make up huko Nairobi naondoka jamiiforums.
Haha sufficient aje na mizigo zinachukua days kutolewa kwa meli!!!Meanwhile, Dar port is the most efficient port in the region [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu, unaweza kututajia nchi yoyote ya Africa iliyofanikiwa kwa kufuata Ubepari?. Mimi ninaweza kukutajia nchi 2 jirani zilizoshindwa za kibepariWaliingia kwenye capitalism kabla ya kuweka taasisi za kusimamia huo mfumo ,matokeo yake ndio hayo Sasa Kila mtu akawa na sharubu..
Ubepari ni mfumo mzuri sana ila tuu Kama una taasisi Imara za kusimamia,wakati ujamaa unategemea hulka binafsi ya mtu plus propaganda pro max.
Ni Mkenya, piga spana.Ila mkuu inaonekana wewe ni mbinafsi sana, sidhani kama huwa unasaidia hata watu.
Libongo la makete hilo mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni Mkenya, piga spana.
Nenda kawaulize WB usinililie mimi.Haha sufficient aje na mizigo zinachukua days kutolewa kwa meli!!!
Ama sufficient ilipoteza meaning
Hiyo battle ya gari nzr tulishaimaliza kama unataka irudiwe sema.Tanzania yote imejaa Ivo nissan, kila mahali.
Wacha ujinga.
Alifanya viko wapi hebu tuoneshe unless tuwe hatujui ukweli π π π πVitu uhuru alifanya 2016 ndio mnapambana nayo sahii!!!!
Hebu tuoneshe hzo 60ships tuone na sisi tufurah π π π π hakuna asiejua dar port ndio tishio kubwa kwa mombasa port utake usitake huo ndio ukweliHahha ndio maana iyo port haijawahi fikisha 20m teus.
Malaini ya meli kwa foleni kumbe ni poor services ndani ya port!!
Ilhali Mombasa inapokea over 60ships every month.
Hebu ww tuambie hzi takataka za mwaka gani πππππHizi vitu za 1998 huwa mnatoa wapi!!!View attachment 2669507
Mko mnajisifia jeshi lenu hapa ....Vitu uhuru alifanya 2016 ndio mnapambana nayo sahii!!!!
Kwenye ile picha ya kwanza, hivi kuna mpunga unapandwa karibu na ile ghorofa ya kwanza!?
Hizi za inter counties ninyi mnazitoaga wapi?Hizi vitu za 1998 huwa mnatoa wapi!!!View attachment 2669507
Ndio mabasi yao ya mikoaniHebu ww tuambie hzi takataka za mwaka gani πππππ
View attachment 2669564
View attachment 2669566