Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It's only 9 billion deficit sijui hio double yako ulkua unatoa wapi. Kenya last year ilikuwa na kiangazi ndo maana tuliimport alot of food stuff, watch mwaka huu hio deficit itapungua.. alafu mtu anaweza fikiria ni kitu important mnaexport kenya unapata 80% ni mahindi
 
Twiga Foods Tatu City… it will take 50 years to see something like this in Dodoma…. And Bongolalas try to do comparisons…. What a joke!β€¦πŸ€£πŸ€£View attachment 2680406
Sasa mbona "baba" ameitisha maandamano kesho ya kuvaa sufuria ya ugali kichwani?🀣🀣
 
mwaiofhawaii. Unajua mkitaja taja dodoma me huwa nafurahi tu 🀣 DODOMA ni league nyingine Bro. Cheki hizi mitaa wala sio government city but they are rapidly growing .. juzi nimepita DODOMA wakati nikienda Mwanza, anyways nimeona hiz picha kwa jamaa wa kuuza viwanja. Heb toa tongo tongo kidogo πŸ‘‡. .
 
Nini cha maana hapo? Hizo nyumba 3? Barabara zenyewe vumbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…