Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ogopa njaa mzee hawa watu nikama wamekua wehu sababu ya njaa yani hajui hata faida na maana ya zebra crossing yeye anawaza pedestrian bridge ambazo kwao sasa hvi zimegeuka kua vyoo vya binaadamu na wanyama ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Ona maajabu ya karne sasa๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 
Mzee wa kuokota ma tweet๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Angalieni hii cow shade ya shakahola tena ya mbunge ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Halafu kutana nao JF wanavyoponda nyumba za Tanzania na Nigerian ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚



 
Zile kilometres zenu za lami mnazitoa wap...kama barabara kubwa kama hii haina lami...

Tanzania hakuna barabara long kiasi hicho haina lami...na Tz ni kubwa karibu mara mbili ya kenya...nyie kilometres zote mnazitoa wap kama hampiki data
Zinatoka kwa access roads ambazo ndio zinaingia Hadi kwa mwananchi wa chini.
Class C and D roads.
 
Pedestrian bridge inawekwa sehemu maalumu kulingana uwingi wa watu sio kama nyinyi machizi kondoo munajenga miradi ya ovyo na kuiba pesa za uma bila faida yoyote

Ndio maana mumekaa kama vichaa ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
View attachment 2683763
Mmmmmmmmaeeeeee Hi si unafika ofisini unanuka kabisa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ, Ndio maana wanaombewa wasiende hell maana tayari wameishi hell maisha yao yote . Rangi ya taka tu inaonyesha zimedumaaa hapo muda mrefu yaani ni kipindupindu kila moja anapeleka nyumbani, ofisini na popote watakapogusa au kukanyaga, yaani ni wasambazaji wa taka hawa wahuni ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Zinatoka kwa access roads ambazo ndio zinaingia Hadi kwa mwananchi wa chini.
Class C and D roads.
Yaan nyie hamkosi visingizio mkibanwa...
Access roads tu Eastleigh one of you business hub ni vumbi na matope tupu...

Bado barabara za vijijini kama kule nyabohanse kwa kina Marwa

Access gan mnaongelea
 
Ni vichekesho vya mwaka 2023 dar ni kubwa mara tatu ya nairobi dar ina barabara nyingi sana kuliko nairobi na mwisho dar ina paved road nyingi kuliko nairobi ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Niweke google earth tucheke?
 
Tazama urefu wa lami kwenye haka kasehemu ka Nairobi

Alafu ulinganishe na dar


Narudia, Nairobi ina lami mara 20 ya dar if not more
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ