Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu Janabi kumbe alikuwa daktari wa Kikwete, alafu ndie akawa anamtibu Magu? [emoji848][emoji848]
Hapana kipindi cha Magu alikuwa JKCI! Msianze majungu yenu maana najua unataka kujenga conspiracy! JPM daktari wake anajulikana alitoka kulekule!
 
Wewe jamaa shule ulikuwa mchovu. Jiendekeze kielimu. Haya mambo yamekuzidi kiakili.
 
kakamega county
kumbe high school football is big huku Kenya, am surprised!
Seems watu wanaenjoy European football and grassroot more.
 
Wewe jamaa shule ulikuwa mchovu. Jiendekeze kielimu. Haya mambo yamekuzidi kiakili.
Mkuu, hapa tunajadiliana kwa uwazi, chagua eneo ambalo wewe hukubaliani nalo na utoe hoja zako mbadala watu wazisome mwenye kuchangia achangie, Sasa ukitaka tushindane kwenye Elimu itasaidia nini?, Japo ninajua hufikii hata robo ya elimu niliyokua nayo, muhimu sio vyeti, muhimu ni maarifa, weka hoja mezani Wacha kurukaruka.
https://www.facebook.com/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…