Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimecheka sana wallahi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Mimi mbona nilisema hili wiki iliyopita nili notice hili tatizo, unajua jamaa hawataki tutumie app, sasa wameona kukomesha hiyo hali wameanza ku ban nyuzi ambazo mtu anapenda kutembelea mara kwa mara.

Yani jf inapoteza mvuto kabisa kadri siku zinavyozidi kwenda.

Wanalazimisha wote tutumie browser wakati browser yenyewe sio user friendly especially kwa anayetumia simu. Nina wiki mbili sasa nafungua jf kwa kutumia browser lkn sijaizoea kabisa na sidhani kama nitaozoea, matokeo yake sina hata hamu ya kuingia jamiiforums.

Cc Maxence Melo Moderator Paw
 
Inasumbua karibu mwezi sasa.
Sisi wavivu wa kulogin kwenye browser inatukera sana.
Ndio maana nimeadimika sana humu.
 
Dah kazi kwelikweli hata mimi imenifanya niishiwe na hamu ya JF na baada ya hili tatizo nimekuwa mbali sana na hii forum
 
Huyu demu anatoka saud arabia riyadh hua anapenda sana nyimbo za kutoka tanzania ikiwemo za zuchu, diamond etc







Sikiliza comment za watu wajinga kuwahi kutokea duniani ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… hvi nani hamjui diamond na zuchu au alikiba kua ni watu kutoka wapi???๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 
Guess whoโ€™s back from summer vacay?โ€ฆ.. I see Wabongo still posting same bsโ€ฆ same soup just reheated over and over..๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
A couple of months backโ€ฆ a few Bongolalas posted that KDF and rest of EACRF are about to be booted out of DRCโ€ฆ I said that might be the case but KDF as a force ainโ€™t leaving DRC especially Goma any time soon and if so I will funga my account for goodโ€ฆnow letโ€™s see what naysayers will sayโ€ฆ Kenya is playing on two fronts.. one regional and one bilateralโ€ฆ. As eyes are focused on EACRFโ€ฆ Kenya now has a bilateral military pact with DRC called KMATT , whereby KDF will be now the official training force for DRC armyโ€ฆ bang!โ€ฆ just like that โ€ฆ plan B in motionโ€ฆso whatever happens to EACRF โ€ฆ Kenya will still call shots in DRCโ€ฆI told you soโ€ฆ
 
Immediately after KMATTโ€ฆ Israel signs a defense pact with Kenyaโ€ฆ if you think they two are not related, then you have no clue on foreign policy matters
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 

Attachments

  • Screenshot_20230826-164441.png
    139.1 KB · Views: 29

Huwa hajielewi huyo jamaa...
Ni mropokaji flani hivi ambae kichwa chake kina pitisha upepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ