Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 cheketu cheketu manyuziii
Leo atataga huyo mchizi na chizi mwenzake 🀣🀣🀣 ana edit hadi picha za google earth Halaf anazidogoisha eti Ili zionekane vibaya🀣🀣🀣 huyo jamaa anateseka sana .. 🀣🀣
 
Mpe syokimau, usilinganishe Huu upuzi na Karen. Naona ameokota picha za Kikuyu anasema ni Karen.🀣
Mjomba kwahyo unakataa hiyo niliyopost sio Karen.? 🀣🀣 Anyways, leta picha za juu za Karen 🀣🀣🀣🀣
 
Leo atataga huyo mchizi na chizi mwenzake 🀣🀣🀣 ana edit hadi picha za google earth Halaf anazidogoisha eti Ili zionekane vibaya🀣🀣🀣 huyo jamaa anateseka sana .. 🀣🀣
Unamaanisha nimetoa lami kwa picha ya Google maps ama nimeedit aje bro?🀣
 
NairobiWalker nilikwambia kwamba Masaki ndio neighborhood yenye barabara nyingi za lami kuliko mtaa wowote ule unaojua wewe wa kitajiri huko kwenu.? Vipi still unaendelea kubisha.? 🀣🀣🀣.. yo Njiro neighborhood in Arusha inatoshana na Karen bila shida. Wachaneni na masaki kabisa sio level yenu nyie kondoo
 
Picha ni za google earth lakini pia umezi edit ili zionekane vibaya 🀣🀣🀣🀣 haitoshi umezidogoisha pia 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 .. still hautoboi .. kmmke 🀣🀣
Vipi wewe, picha ziko zilivyo.., kwanza zinaonekana clear, hizo apartments sio Masaki ama?.., nilijua lazima utatafuta pakutokea, eti nime edit, hauamini ni masaki hiyo yenye apartments πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Karen sio mwenzenu.., mtu anaishi kivyake, in his own compound, sio Masaki size ya akina Parklands na Kilimani, ila Kilimani na Parklands zimeizidi kwa vile ziko na CBDs za maana, CBD ama shopping centre ya Masaki hamna kituπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚



 
Leo atataga huyo mchizi na chizi mwenzake 🀣🀣🀣 ana edit hadi picha za google earth Halaf anazidogoisha eti Ili zionekane vibaya🀣🀣🀣 huyo jamaa anateseka sana .. 🀣🀣
Bro taratibu wana kawaida ya kususa thread watakimbia sasa hvi plz taratibu bado tunawahitaji kwenye kuwaumiza roho zaoπŸ˜…
 
Mitaa ya kitajiri Kenya huwezi pata barabara isiyo na lami so hiyo concept ya 'barabara nyingi za lami' haiexist maanake barabara zote ni za Lami. Ukitaka nikutajie mitaa top 10 tajiri Nairobi ujionee mwenyewe kwa Google maps nitataja.
 
Unamaanisha nimetoa lami kwa picha ya Google maps ama nimeedit aje bro?🀣
🀣🀣🀣🀣 Utajua wewe mjomba .. leta clear picture ka hii πŸ‘‡ Raskazone Tangalets go sokiamu vs Raskazone neighborhood Tanga .. hii ndio level yake
 
🀣🀣🀣🀣 Utajua wewe mjomba .. leta clear picture ka hii πŸ‘‡ Raskazone TangaView attachment 2731357lets go sokiamu vs Raskazone neighborhood Tanga .. hii ndio level yake
Sio leo tu miaka mingi sana wanapigana na masaki yani masaki inawanyima usingizi miaka na miaka 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Nimeona.., anachukua the outskirts, yaani surrounding areas kulazimisha.., google earth itamuacha na maumivu
Unangoja nini kuleta the best of Karen 🀣🀣🀣🀣 eti outskirt 🀣🀣🀣 Karen enyewe ni kadunchuu Halafu eti unajitia eti outskirt ya Karen 🀣🀣🀣
 
Mitaa ya kitajiri Kenya huwezi pata barabara isiyo na lami so hiyo concept ya 'barabara nyingi za lami' haiexist maanake barabara zote ni za Lami. Ukitaka nikutajie mitaa top 10 tajiri Nairobi ujionee mwenyewe kwa Google maps nitataja.
🀣🀣🀣 Wewe bhana wacha maneno leta kΓ zi.. barabara nyingi ndani ya Karen hazina lami na hata hizi zenye lami ni lami isiyokuwa na viwango .. ushahidi huu hapa πŸ‘‡nadhani hii πŸ‘† ndio best place enye mnajisifia nayo huko Karen, correct.? 🀣🀣🀣 Wachana na hizo pavement ndani ya hako ka estate barabara za nje ya estate ni tope tupu
 
Unangoja nini kuleta the best of Karen 🀣🀣🀣🀣 eti outskirt 🀣🀣🀣 Karen enyewe ni kadunchuu Halafu eti unajitia eti outskirt ya Karen 🀣🀣🀣
Masaki ni Eastlands hapa Kenya bana..., apartments kwa matajiri wa juu? kivipi? Kuna sehemu mingi za Eastlands zimeizidi Masaki, boss kunywa supu ya mifupaπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ...,
Karen..,


 
Unangoja nini kuleta the best of Karen 🀣🀣🀣🀣 eti outskirt 🀣🀣🀣 Karen enyewe ni kadunchuu Halafu eti unajitia eti outskirt ya Karen 🀣🀣🀣
Karen is the biggest estate by land Area in East Africa and the third richest neighborhood in East Africa after Muthaiga and Gigiri. Wewe mwenyewe unajua hilo ndio maana unapost Google images za Kikuyu ukisema Ni Karen halafu nikipost za Masaki unasema eti nimeedit.🀣
 
Mbona barabara zote kwa hiyo picha ni za Lami? Ama unajifanya kipofu?🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…