Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siku nyingi sana huyo zwazwa anajaribu sana tena sana masaki ionekane haina thamani lakini moyoni mwake anajua masaki ndio sehem inayowaumiza kichwa miaka na miaka na huu mjadala wa masaki haujaanza leo 😅😅😅😅😅😅😅😅

Anahangaika na masaki wakat mm nilimwambia masaki ni kubwa sawa na mombasa town yote 🤣🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣 Vipi mbona unapost nyumba mbili.? Kwenye battle ya mabomu unakuja na kisu.? 🤣🤣🤣
Masaki size yake ni Eastlands, matajiri hawaishi kwa apartments kilaza.., kisha Eastlands imeizidi kwa mbali sana..., yaani mnatia huruma eti masaki yenye apartments ni mtaa wa cream de la cream ya matajiri wa Tanzania 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 .., mtaa umejaa mchanganyiko ya watu..,

Yaani sehemu za Eastlands ndio catogory ya Masaki, ila sio size yake..., Eastlands ni kubwa zaidi.., nyie ni fukara walai...,

Sehemu za Eastlands zaidi ya Masaki kwa termaced roads, mpangilio na ukubwa..., yaani masaki ndio the best in Dar..,



 
Syokimau ndio category ya Masaki.., blend ya apartments with mansions and bungalows...,
Exactly, Hadi tukipost kwa picha za Karibu inaonyesha. Jioni hawawezi post picha za Karibu za hiyo Masaki? Ngoja nitulie nitapost video uone vile hiyo esto ni imbo.🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…