Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukianza matusi huwa najua ushaalemewa.🀣
Niambie Jina la barabara nikutolee Google Street view sahii.
Hizo sio shida zangu wewe ndio ujitetee mzee wangu, nijue majina y barabara mie ni malkazi wa Karen.? 🀣🀣🀣
 
Yaani Masaki ukitoka tu main road ni vumbi estate..., shukran google earth, na US Navy, mali yenu hii imenisaidia kuumbua hawa mbwa wa south, tazama wewe nyaniπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚







Linganisha na mitaa zingine za Eastlands.., tofauti ni kama mbingu na jehanamu walai.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
EastlandsπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

 
Hizo sio shida zangu wewe ndio ujitetee mzee wangu, nijue majina y barabara mie ni malkazi wa Karen.? 🀣🀣🀣

Nijitetee kivipi broo?🀣🀣
Umesema mwenyewe huijui Karen alafu ukielezwa unabisha?🀣🀣 Hivi ni akili huna ama ni kazi?
 
Hiyo Masaki hamna kitu. Yani Ni hapo mbelembele ya Bahari tu Na hiyo sijui ndio Toure drive pekee Ila uliingia ndani kidogo hata South C haifikii.🀣
 
A
Hiyo umepost ni masaki ya wapi kaka ? 🀣🀣🀣 Usije ukanya tu leo.
 
Naona umepost nyumba tatu Halaf una claim eti 70% ya Masaki haina lami 🀣🀣🀣 kwanza hiyo east lands labda haitoboi hata kwa mikocheni
 
Hizo sio shida zangu wewe ndio ujitetee mzee wangu, nijue majina y barabara mie ni malkazi wa Karen.? 🀣🀣🀣
Nimetafuta ka video nijiridhishe na haya majina makubwa (POSHY, CLASSY, WEALTH ) nikaona barabara inayoonekana kwa macho bado ni vumbi, au labda chafu na udongo? basi kama chafu maana yake ni pachafu pia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • Screenshot 2023-08-28 at 15.40.59.png
    421.7 KB · Views: 26
A

Hiyo umepost ni masaki ya wapi kaka ? 🀣🀣🀣 Usije ukanya tu leo.
Wacha ni zoom out.., unataka kukana kwenu..., hapa ni Masaki, najua wewe ni wa uswazi Masaki unaionea kwa google na humu jf.., niko live google earth πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Wacha ni zoom plus link ya zoomed image..,
Click kwa hii link ujionee Masaki jama lya Gongo la Mboto: Google Earth

 
Nimetafuta ka video nijiridhishe na haya majina makubwa (POSHY, CLASSY, WEALTH ) nikaona barabara inayoonekana kwa macho bado ni vumbi, au labda chafu na udongo? basi kama chafu maana yake ni pachafu pia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Saidia mwenzako na wewe anakana Masaki kisa 70% vumbi..,



 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Anyways, hapa ni wapi..? πŸ‘‡ Masaki is something else bro. No comparison
 
Hiyo Masaki hamna kitu. Yani Ni hapo mbelembele ya Bahari tu Na hiyo sijui ndio Toure drive pekee Ila uliingia ndani kidogo hata South C haifikii.🀣
Nilidhani wame improve, kuna youtube video ya mzungu flani anajiita Sabbatical while in Dar, amedharau Masaki coz of ya barabara za vumbi, so I thought wame improve, nimeangalia google earth, yaani bado iko vile vile.., I need to get the clip..,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…