Karen ni si kama Makongo Juu tu?π€·πΎββοΈHuwezi bishana na ukweli wewe kondoo π€£π€£π€£ barabara nyingi za Karen hazina lami πView attachment 2731399View attachment 2731400na hata hizo barabara zenye lami viwango vyake ni duni π€£π€£π€£πView attachment 2731401
Niondolee uendazimu wako humu..., tafuta zezeta mwenzako wewe mwana Masaki, Vumbi estate.. π€£ π€£ π€£ π€£ , Mombasa size yake Dar, usijitoe ufahamu wewe kilaza, google earth ni free, umezoea kukurupuka hovyo hovyo, kua unafanya uchunguzi ama utafiti kilaza kabla ya kuropokwa kimandazi.., ikija swala la makazi, miji yenu haina lolote kwa miji za Kenya.., fanya google earth iwe rafiki yako usijidanganye wala kudanganywa..,Kutana na estate za kinyamwezi in Arusha. Uzunguni π it's next to Arusha CBDView attachment 2731635View attachment 2731636View attachment 2731637View attachment 2731638View attachment 2731639 Njiro π..View attachment 2731616View attachment 2731623ngaramtoni ya chini πView attachment 2731622View attachment 2731625ngaramtoni ya juuπView attachment 2731628.. Don YF. Wapi mombasa Rich suburbs.? π€£π€£π€£ Arusha inakalisha Mombasa+Kisumu+Nakuru combined, likija suala la makazi bora
Huyu ndwazi amechizi walai, sasa anatorokea Arusha, uko ndio nitamfinya vibaya sana..., hajui najua kila kona ya Tz., nguvu na udhaifu wa taifa lao.., hajui kutumia google earth kikamilifu or he is using a limited phone, nitamuumbua hadi basi..,Sama boy 255 mbona unatoroka? Nionyeshe malls za Masaki? Nilikuambia hiyo masaki ni kama court moja Karen huskii.
Hehe
Malls
The renaisance Plaza is the only thing closest to a mall I found in Masaki. Wacha tuihesabu tu kama mall ila most of it ni office blocks.
Masaki = 1
Renaissance Plaza
View attachment 2731655
Karen = 4 malls
1. The Waterfront
2. The Hub
3. Galleria Mall
4. The Crossroads Mall
Hii hata nimeanza kuona kushindanisha na Syokimau ni kuidharau Syokimau. π€£ π€£Mtaani kwa bakhresaa masakiπ₯View attachment 2731721View attachment 2731728
Tena malongo juu kuna nyumba za adabu kisawasawa π π π πKaren ni si kama Makongo Juu tu?π€·πΎββοΈ
Kwenye nn slums au??π π π πTuko vizuri
Kwani bakhresa anakaa wapi??? Unaijua nyumba yake ??? Au hasira hazina mipakaπ€£π€£ kazi ulionayo unaokota chochote unapostMtaani kwa bakhresaa masakiπ₯View attachment 2731721View attachment 2731728