Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe kenge mwambie huyo kwamba ameshazeeka... Bazenga wa kiafrika kuwa hivi Sio ujanja ni ufala

 

Attachments

  • IMG-20230828-WA0006.jpg
    94.6 KB · Views: 2
Huu Mkeka wa Mbweni ukiukuta Karen nafunga account JF.
 
Ujenzi wa hospitali ya jeshi dodoma kwenye hatua za mwishoπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏView attachment 2731931View attachment 2731932View attachment 2731933View attachment 2731934View attachment 2731935
Aii Yawa!!! Hii nchi tamu sana, kila kona mambo mazuri kila siku. Ebu kila Mbongo aliyeko humu kabla ya kuanza kazi asubuhi hii ajipige kifua mara tatu huku akisema β€œSisi Ni Miamba Ya East and Central Afrika” πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Huu Mkeka wa Mbweni ukiukuta Karen nafunga account JF.
Nimewaaambia mm karen ikitoboa kwa mbweni mm nafunga acc mpaka sasa hvi wanaruka ruka tu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mwengine kaokota sijui picha za wapi anataka kupunguza stress na usifkiri hawajui ukweli wanajua vzr sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…