Don't focus too much on KQ. Umesahau you also have an airline? Tell us how much ATCL has made in profitsZile habari hupenda kusikia kutoka Ukunyani 🤣🤣🤣
View: https://twitter.com/thebizwiztz/status/1697142173676827002?t=pMgFQruTLwxKXJjoHtssfw&s=19
And westland inside 🤣🤣🤣North of Nairobi CBD
Nionyesha jengo lenye hadhi kama hilo nje ya Nairobi, nikuonyeshe gundi linatumika vipi kwenye kubandika maharage.. 🤣🤣🤣 Chizi weweUnasema Arusha alafu unatuwekea one ugly building🤣🤣
Bunkrapt airline 😁😁Don't focus too much on KQ. Umesahau you also have an airline? Tell us how much ATCL has made in profits
Hilo jengo sahii wanalishare kila mahali, kama walivo-overshare mitungi mitatu. 🤣Unasema Arusha alafu unatuwekea one ugly building🤣🤣
Sasa mbona umekasirika?🤣Don't focus too much on KQ. Umesahau you also have an airline? Tell us how much ATCL has made in profits
Leo wamesema ukweli....leo wamewatambua wakenya mlivyo...Villages za Tanzania hamna kitu nakwambia. Tembea huko siku moja utajionea.
Don't focus too much on KQ. Umesahau you also have an airline? Tell us how much ATCL has made in profits
Duuhh hawa jamaa mziki hawajui kabisa, asa ndiyo kaimba nn. Wamechokoza bifu na wabongo tukajua wako serious tuwasaidie kuinua mziki wao kumbe ukatuni wao kama kawaida, kila sehemu wanaleta ukatuni.Sikilizen hii diss track kutoka wa-kunyata😆
View: https://twitter.com/city_digest/status/1697470457522393396?t=AdQHP67yIShrpTzJgxIucQ&s=19
🤣🤣 acha kujifanya unaijua Tz wewe fala, yani unapost village center yenu then ulinganishe na nyumba za wafugaji na wakulima huko countryside.? 🤣🤣Tukipost mazingira ya hivyo huko kwenu si ni vioja hata wanyama wanakufa njaa.. ona hii Tz village and the developments .. hii hapa ni korogwe Tanga 👇These bongolalas talk too much yet they have nothing. Eti poor village. Wanasahau they house the poorest populace in the entire of East africa! Sema nyani kutoona kundule
Kaumia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unasema Arusha alafu unatuwekea one ugly building🤣🤣
You know what’s the largest stock exchange in East and Central Africa..?… hint… it’s NOT Dar….🤣🤣🤣… we are not in your little league..
Mbona picha ileile tu majengo yote ndani, alafu utaigeuza utasema south of Nairobi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣North of Nairobi CBD
Coco reborn mwenzio kakubali hukuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hilo jengo sahii wanalishare kila mahali, kama walivo-overshare mitungi mitatu. 🤣
Am a witness and am sure ya’ll Bongolalas know the truth you just play fools….. inside that “pori” ni posh homes ….don’t let the trees fool you…. Kenyans will never allow an ideal land like that go undeveloped unless it’s gazetted by government. They even try grab the official pori… and they are only 2 near the city … Nairobi National Park and Karura Forest….. anywhere else ni mansions inside the pori….. we can prove it …full video tulioneshwa na zwazwa ni video ya nusu saa nzima inaoneshwa nyumba mbili tu na mapori 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sijui anahisi akipost video sisi tunashtuka au hatuifungui
Na akibisha tu munitag 👇👇👇View attachment 2735362
View attachment 2735363
Ukisikia Utopia ndiyo hii sasa, wakati mwingine hii battle inapoteza maana kabisa, eti mtu anathubutu kabisa kufananisha Dom na Tatu village au utasikia mtu anabisha kabisa eti Kenya inamatumizi makubwa ya cement kuliko Tz, hivi unaweza kukadiria kiasi cha cement kilichozama hapo Dom city? Angalia wingi wa majengo mapya, angalia barabara za lami mpya na urefu wake, unathubutu vp kulinganisha viwango vya matumizi ya cement kwa hizi nchi mbili?Hii Dodoma DC ndio ya kufananisha na uozo wa Tatu city aki hawa northerners akili hawana.
View: https://youtu.be/_pNeevCX2wA?si=1LbOPoRqmZ31o0R6
You're wasting your time. That one is a retard.Am a witness and am sure ya’ll Bongolalas know the truth you just play fools….. inside that “pori” ni posh homes ….don’t let the trees fool you…. Kenyans will never allow an ideal land like that go undeveloped unless it’s gazetted by government. They even try grab the official pori… and they are only 2 near the city … Nairobi National Park and Karura Forest….. anywhere else ni mansions inside the pori….. we can prove it …
Ndio maana nimepata shida sana kutofautisha kati ya north Nairobi na CBD maana picha moja kila kitu humohumoMbona picha ileile tu majengo yote ndani, alafu utaigeuza utasema south of Nairobi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣