Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehehe
There is no African country without these types of images. Kama mnashare picha kama hizi to run away from reality mko na shida. Ndio hizi z Tanzania.

Tumeweka ya Nairobi we unaweka ya vijijini, kumbe Nairobi saizi yake ni vijiji vya huku Tz 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Huu mradi unawauma sana yani unawauma kisawasawa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… eti wanaandamana kupinga ilihali mradi hauwahusu tulitegemea waganda au watanzania wafanye hvo lakini cha ajabu pilipili ale mganda alaf mkenya awashwe makalio

View: https://twitter.com/stopEACOP/status/1698598780650639727?t=T4ykcPzmuSnNeziolxoMJQ&s=19




Watu wenyewe hata 20 hawafiki utakuta wamepewa kilo mbili mbili za unga wamekuja kuvuja jasho eti stop EACOP🀣🀣🀣🀣🀣🀣

View: https://twitter.com/stopEACOP/status/1698591605152723256?t=bnyI9g0gz5Wy-dYt66dYNQ&s=19
 
Na ajabu ya hawa mbwa kuna oil pipeline inatoka mombasa kuelekea nairobi ilishavuja mafuta zaidi ya mara tatu na juzi nimeskia eti wanasafirishia maji kutoka msa kuja nairobi lakini sijawah kuona wakiandamana sijawah πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1309015745288982528?t=ErKDhGSS9SJGG3n12k-RhA&s=19
View: https://twitter.com/TheAfricaMentor/status/1141518787537227776?t=Yl-j6Abuso_MeirYzGy-xQ&s=19


Yani hasira zao ni kwann 3.5b usd inakuja tanzania hio ndio kinachowauma mbwa kabisa hawa watu
 
hAwa jamaa ni mashetani hawa kmmae zao.. yani wanatuonea wivu hadi kiwango hiki.? Dah jirani Gani wa ******* namna hii.. .?
 
I saw some bongolala here flooding the thread with a 17 storey building in the village of Arusha. I even heard the president was invited to officially open it.

Now let's get back to the topic of the thread.
Here are some upcoming buildings in Nairobi around the same height as that 'pride of bongolala'.

They are not famous buildings. The president will not open them. In fact, even the local chief will not be bothered, because this is an ordinary affair in Kenya.
Constructing a 15+ storey building is not a rare event in Nairobi 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣

All of these have already broken ground and are at various stage. Some are almost complete.

1. Residential tower - Pangani, Nairobi (18 fl)​



2. Rodol Diamond - Parklands, Nairobi (15 Fl)​



3. Rodol Duplexes - Parklands, Nairobi (15 fl)​



4. Wafi Residence - Garden Estate, Nairobi (17 fl)​



5. Avenue Height - Parklands, Nairobi (18 fl)​



6. Hillside Gardens - Parklands, Nairobi (14 fl)​




7. Viewside Gardens - Parklands, Nairobi (17 fl)​



8. The Saruni - Riverside, Nairobi (18 fl)​



9. Muthaiga Residency - Muthaiga, Nairobi (16 Fl)​



10. The Vogue - Kileleshwa, Nairobi (18 fl)​



11. Grandview Gardens - Parklands, Nairobi (17 Fl)





12. Another residential tower - Parklands, Nairobi (18 Fl)​



13. Lulu Residency - Parklands, Nairobi (18 Fl)​



14. Haze Apartments - Parklands, Nairobi (21 Fl)​



15. Westlight Suites - Parklands, Nairobi (19 Fl)​



16. Tamam Residency - Parklands, Nairobi (15 Fl)​




17. Shams Residency - Parklands, Nairobi (15 Fl)​




18. Akshar Heights - Parklands, Nairobi (17 Fl)​



19. Skyway - Parklands, Nairobi (15 Fl)​




20. Utopia - Parklands, Nairobi (15 Fl)​



21. Bellevue Park - South C, Nairobi (Affordable Housing)​




22. Alba Apartments - Kilimani, Nairobi (16 Fl)​





23. Oak Classic - Kilimani, Nairobi (19 Fl)​



​

 

24. Southfront - Kilimani, Nairobi (17 Fl)​




25. Pinetree Place - Parklands, Nairobi (17 Fl)​



26. Grand Midtown - Ngara, Nairobi (21 Fl)​



27. Orchid Residency - Westlands, Nairobi (22 Fl)​

 
Asante kwa renders ?πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…