Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sitombir wakumbafu, huwa mbona unalazimisha sana?
Nalazimisha nini? Kwamba JKIA has more international direct flights than your mabati rolling mills?

Ama kwamba raia wenu wamevamia mitaa zetu kama nzige na bakuli mikononi? Gani kati ya hizo mbili nalazimisha?
 
Apple and safaricom joint venture has set off… hii itakuwa moto πŸ”₯ πŸ”₯…… I can’t wait….Technology is now the new Kenyan world frontier…..Silicon Savannah about to take over…. No wonder all these major companies like google, Microsoft, Samsung and IBM have set their Africa headquarters in Nairobi….. why do we even compare Dar to Nai?…. Nairobi is a world city…. Dar is just a some how modern fishing village…..🀣🀣🀣🀣🀣πŸ₯²
 
Kenya has been doing this for ages in Europe. Almost all Kiswahili teachers in Europe are Kenyans. There are also classes where lessons are held virtually with institutions in Europe and the United States, from Kenya.
Sasa mbona unaandika kwa huo ugoko wako wa kukariri. Nani ameitaja Kenya hapo? Acha kiwewe chako wewe nyang'au🀣🀣🀣
 
Nyinyi ndio maana hata akili zenu zimeshikwa na wanasiasa kama serekali ya tanzania imesema amefia kwenye hospitali hapa dar ww ni nani unabisha tuseme hvi tukuamini ww na tuache kumuamini rais wa nchi 🀣🀣🀣🀣🀣 hakuna ushahidi wowote na hutapata mpaka dunia inasimama

View: https://twitter.com/BBCAfrica/status/1372289859931545604?t=_zHeuoL7rVRHjIcIL06-BA&s=19
 
Eti alisafirishwa by secret hahaha nimecheka mpaka basi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hvi huu uzushi mulidamganywa na nani??? Nani aliwadanganya nyinyi kenge

Na ww umejuaje kama ilikua secret wakat upo kibera unahara kwenye paper bag muda wote πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Report say by who ??πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… yani nimecheka sana vile mulivokua hamuna hata akili ya kuzaliwa rais aache kwenda kutibiwa germany au russia huko aende atibiwe kenya?? Ww hata inakuingia akilini?

Ikiwa wanasiasa wenu wanakiambia india kutibiwa itakua rais wa nchi kweli?? Huyo joho si alienda kutibiwa nje like 3 months ago mbona hakuja nairobi akatibiwa??

Punguza ujinga na ufala uliojaa kichwani mwako 😁😁😁 ndio maana njaa inawaua coz ya ujinga na ufala
 
Hawa nyang'au walikuwa wanaamini kuwa mlima Kilimanjaro upo Kenya pia Olduvai gorge ipo kwao, ha ha ha🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…