Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I will save this 4 the laughing party 2027….🀣🀣🀣🀣
Hakuna siku ikatokea mkenya aka save msg alafu akashinda mbele ya mtanzania, never never never, unaongelea render ambayo hata serikali yenu haiijui, lkn hata kama mkijenga haitakuwa shida mana tayari sisi tunavyo viwanja bora ambavyo ni approved na bado tunajenga vingine vipya na sio kimoja.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwa jinsi anavyojipenyeza katikati ya Magari, Wonder what is he driving, Punda? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
yuko kwa Bodaboda hapo halafu ana-claim driving! Ukunya ni tabia! hata akiwa kwa mgongo wa punda ata-claim ana-drive! πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
Wakenya wakionesha maisha yao halisi huwa wanachekesha kweli, sasa kama huyu tayari tushajua life lake ni la ku struggle 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Today morning drive around Eastleigh


View attachment 2768528
Kwanini husemi ukweli kama ulikua umepanda bodaboda or maybe Punda.? 🀣🀣🀣 Unakatiza katikati ya magari and claiming that you driving.? 🀣🀣🀣 Okay so now tell us what were you driving.? Joker .. poor man
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Nafkiri kuna siku niliwahi kusema hapa kwamba, hii battle sasahiv imepoteza mvuto kwasababu imekua ni kenyans empty talks VS Tanzanians development. 🀣🀣🀣 Sasa heb ona club yao kubwa hata kulipa mishahara hawawezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…