ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Ipi iyo mkuu π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Ndio hivyo mkuu, Halafu mbona sionI post yangu, au wameifuta π€£
Hii hapa , siioni tena zaidi ya kwa waliyo iquote , Muhusika mwenyewe aliniquote mara kadhaa na akihusisha na Wikipidea πππππ, Kwani Wikepedia ipo hivi? πIpi iyo mkuu π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Ww ulitaka niwe nani ???π€£π€£π€£π€£π€£ nilijua lazma utanichukia tu so naww umejiunga na zwazwa kunichukia au?πKumbe wewe ni Mwarabuβ¦.πππView attachment 2770142
Acha uongo, hii nyumba kaitumia your former Chief Spy James Kanyotu, Aliiba kwa a former British National na imetumika pia kama HQ ndogo ya Ujasusi hapo Kenya.We bana, acha kujibenua hapa, wewe ungekuwa kama hawa wakenya ungeringa kiasi gani!?
Nikupe mfano, hii nyumba ya mkenya hapo Tigoni, hata si Nairobi, kijijini. Bongo hii itakuwa ni hoteli ya kifahari. Hapa nyumba ya mtu
View attachment 2769870
Anapiga part time kama mfua mashuka wa hotel ndio umeona kale ka business cardβ¦β¦.katika maneno kumi ya Mkenya chukuaβ¦β¦β¦..π π π π πEti kasema yake kumbe dereva wa malori anakuja kuwaongopea wakenya wenzie humuπ€£π€£π€£π€£π€£
Sio kumi bro kwenye maneno elf moja chukua moja tu na pia usilale kabla hujalitafakari hilo neno mojaπ€£π€£π€£Anapiga part time kama mfua mashuka wa hotel ndio umeona kale ka business cardβ¦β¦.katika maneno kumi ya Mkenya chukuaβ¦β¦β¦..π π π π π
Si wewe Ulisema a while back that naishi Kibera and you swear unauhakikaβ¦.so you canβt have your cake and eat it tooβ¦ ama hio Kizungu ni ngumu?β¦. ππNilifikiri utasema upo nyumbani kumbe unajivunia kwa watu, we kweli matako π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£