NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,361
- 19,764
What I understood from this excerpt is, Tanzania is the little beggar on the street that China drives by in his Range Rover everyday and throws him a few coins everyday so the little beggar grows to believe the man in the Range Rover is his friend. He thinks his children and the big man's children are friends. Ndio maana nawaambia Nyerere aliwalaani Na delusions kabla afe.Hawa sijui shuleni kwao walikuwa wanajufunza nini, siwezi kuwalaumu. Hawajui kabisa chochote kuhusu Africa, dnio maana tunapata nao sana tabu kwa sababu ya elimu yao mbovu iliyojikita kwenye kuwapatia vyeti vya kuombea ajira.
hajui kuwa, China-Tanzania diplomatic relation ni somo huko China na Tanzania. Hajui kuwa, Tanzania ndio biggest China's ally in Africa. hajui kuwa, China ilikuwa masikini sana in 1960s na Vinchi vya Africa, ikiwamo Kenya hazikutaka kusikia chochote kuhusu China or any thing Chinese zikiwamo bidhaa zao zote.
Hajui kuwa, Tanzania ndio nchi ya kwanza na pekee Africa kuanzisha uhusiano wa kimataifa na China in 1960s, na hajui kuwa, mradi wa kwanza wa China kujenga nje ya China kwa nchi yeyote duniani haikuwa ASIA, South America or kokote bali Tanzania na ni TAZARA uliojengwa na kampuni ya KIchina "CCECC" na hajui kuwa hili ni somo kubwa huko China tena hasa sasa hivi ambapo wako vizuri.
Hajui kuwa, jeshi letu la maji lilijengwa na China na hajui kuwa baada ya kutusaidia kujenga jeshi la maji, pia China miaka hiyo alitupa Meli za kivita 13. hajui kila mwaka tunasheherekea pamoja uhusiano wetu wa kidiplomasia hapa Tanzania na in China pia.
The list is endless
Ukimuona Samia ujue ni biashara ndio maana Ziara ya kwanza ya Samia alikuja Kenya kutatua mikwamo ya kibiashara nada mfupi baadae tukawapita.You're the typical difference between Kenyans and Tanzanians.
You're proving exactly what I said.Ukimuona Samia ujue ni biashara ndio maana Ziara ya kwanza ya Samia alikuja Kenya kutatua mikwamo ya kibiashara nada mfupi baadae tukawapita.
Mimi sifuatagi Mkumbo wa wengi View attachment 2793089View attachment 2793090View attachment 2793091
Na naunga mkono mama asafiri zaidi,Rwanda na DRC Bado hajaweka mazingira sawia zaidi,Nako aende Ili aturahisishie biashara za mipakani.You're proving exactly what I said.
Lazima akimbie hana cha kushare hapa umempiga na kitu chenye ncha kali π€£π€£π€£Young africans
View attachment 2792936View attachment 2792937
Simba sport club
View attachment 2792942View attachment 2792943View attachment 2792944
Azam FC
View attachment 2792949View attachment 2792948View attachment 2792950View attachment 2792951
Singida fountain gate
View attachment 2792952View attachment 2792953
View attachment 2792966
Namungo FC
View attachment 2792957
View attachment 2792960
Ihefu FC
View attachment 2792959View attachment 2792958
Mbeya city
View attachment 2792962View attachment 2792963
KMC FC
View attachment 2792967
Geita gold FC
View attachment 2792970View attachment 2792969View attachment 2792971View attachment 2792972
Kagera sugar FC
View attachment 2792975View attachment 2792976
Mtibwa sugar FC
View attachment 2792977View attachment 2792978
Dodoma jiji FC
View attachment 2792980View attachment 2792981
Vipi niendeleee au ???π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Hajui pia China na Tanzania wana kampuni ya meli SINOTASHIP, viwanda vya nguo Urafiki textiles etcHawa sijui shuleni kwao walikuwa wanajufunza nini, siwezi kuwalaumu. Hawajui kabisa chochote kuhusu Africa, dnio maana tunapata nao sana tabu kwa sababu ya elimu yao mbovu iliyojikita kwenye kuwapatia vyeti vya kuombea ajira.
hajui kuwa, China-Tanzania diplomatic relation ni somo huko China na Tanzania. Hajui kuwa, Tanzania ndio biggest China's ally in Africa. hajui kuwa, China ilikuwa masikini sana in 1960s na Vinchi vya Africa, ikiwamo Kenya hazikutaka kusikia chochote kuhusu China or any thing Chinese zikiwamo bidhaa zao zote.
Hajui kuwa, Tanzania ndio nchi ya kwanza na pekee Africa kuanzisha uhusiano wa kimataifa na China in 1960s, na hajui kuwa, mradi wa kwanza wa China kujenga nje ya China kwa nchi yeyote duniani haikuwa ASIA, South America or kokote bali Tanzania na ni TAZARA uliojengwa na kampuni ya KIchina "CCECC" na hajui kuwa hili ni somo kubwa huko China tena hasa sasa hivi ambapo wako vizuri.
Hajui kuwa, jeshi letu la maji lilijengwa na China na hajui kuwa baada ya kutusaidia kujenga jeshi la maji, pia China miaka hiyo alitupa Meli za kivita 13. hajui kila mwaka tunasheherekea pamoja uhusiano wetu wa kidiplomasia hapa Tanzania na in China pia.
The list is endless
Tanzania ndio nchi iliyokuwa mstari wa mbele Africa kupigania China admission kwenye UN security Council wengine wote walikuwa wanaogopa western masters wao wakakaa kimya.Ni mengi sana wamefanya kwa Tanzania kuliko nchi yeyote. Nchi zote za Africa hazikutaka kusikia kuhusu China, wengi wao walijikita USA na western countries. Sisi ndio tulio kuwa tukitumia bidhaa zao za Kichina zilizokuwa zikizarauliwa ulimwenguni.
Sisi ndio tulikuwa tukizipaisha bidhaa za China kama silaha zao kwenye vita vingi hapa Africa na hivyo kuleta imani ya bidhaa zao baada ya ushindi wa vita nyingi. Wao ndio wameinstall makombora makubwa huko baharini miaka ya 1960 na kujenga karakana kubwa. mambo ni mengi mwana.
Akirudi hapa huyu ni kichwa ngumu ya Kibera au Mathare.I wonder, why? π€£π€£π€£π€£π€£π€£
View attachment 2792839View attachment 2792840View attachment 2792841
View attachment 2792842View attachment 2792843
Hatuna longolongo tunaita sehemu kama inavyotakiwa!Bado wanataka mashindano??π€£π€£π€£π€£
View attachment 2792734
View attachment 2792736View attachment 2792737View attachment 2792738View attachment 2792739
Hao tumewazoea wazee wa data fake. Watu wamepiga hela inachobaki ni kuwaongopea wananchi lakini mwishowe wanakuja kuumbuka nothing on the ground to show off.Oooh we are leading on ICT in the entire region sijui nyenyenye kumbe ushuzi tuβ¦β¦..VIBERA bhanaπππ
Where is Gor Mahia Tuzo bus? Only the first bus makes sense the rest r utopolo! FYI Most soccer clubs have coaches while major clubs like Yanga, Simba n Azam have at least 3 buses! Azam has even a small plane!
Wacha ku-exaggerate mambo nawe! Terminal II is getting modernization!Terminal 2 iyo inavunjwa soon π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Yaani haya mabasi ya team tu yanajaza stand kadhaa za Kundustan π€£Young africans
View attachment 2792936View attachment 2792937
Simba sport club
View attachment 2792942View attachment 2792943View attachment 2792944
Azam FC
View attachment 2792949View attachment 2792948View attachment 2792950View attachment 2792951
Singida fountain gate
View attachment 2792952View attachment 2792953
View attachment 2792966
Namungo FC
View attachment 2792957
View attachment 2792960
Ihefu FC
View attachment 2792959View attachment 2792958
Mbeya city
View attachment 2792962View attachment 2792963
KMC FC
View attachment 2792967
Geita gold FC
View attachment 2792970View attachment 2792969View attachment 2792971View attachment 2792972
Kagera sugar FC
View attachment 2792975View attachment 2792976
Mtibwa sugar FC
View attachment 2792977View attachment 2792978
Dodoma jiji FC
View attachment 2792980View attachment 2792981
Vipi niendeleee au ???π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Shida ni kwamba hawaeleweki, kuna wanaosema jengo litashushwa lote na wengine wanasema ni just a modernization, ila blah blah zimekuwa nyingi kama kawaida yao, mpk leo hakuna kinachofanyika.Wacha ku-exaggerate mambo nawe! Terminal II is getting modernization!
Golden dragon tupu na yutong!!!Young africans
View attachment 2792936View attachment 2792937
Simba sport club
View attachment 2792942View attachment 2792943View attachment 2792944
Azam FC
View attachment 2792949View attachment 2792948View attachment 2792950View attachment 2792951
Singida fountain gate
View attachment 2792952View attachment 2792953
View attachment 2792966
Namungo FC
View attachment 2792957
View attachment 2792960
Ihefu FC
View attachment 2792959View attachment 2792958
Mbeya city
View attachment 2792962View attachment 2792963
KMC FC
View attachment 2792967
Geita gold FC
View attachment 2792970View attachment 2792969View attachment 2792971View attachment 2792972
Kagera sugar FC
View attachment 2792975View attachment 2792976
Mtibwa sugar FC
View attachment 2792977View attachment 2792978
Dodoma jiji FC
View attachment 2792980View attachment 2792981
Vipi niendeleee au ???π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
United Green plant in the UKWakiambiwa Tanzania ndio regional investment destination wanasurufu πππ
$ 365 M at a go
View attachment 2793191View attachment 2793192
View: https://twitter.com/InvestTanzania/status/1717252423390007745?t=mfXdW7odwb6yvPSE8Jy7MQ&s=19