Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo mwamwindi Si ndo mharifu kipindi Cha Nyerere kwanini jina lake linatukuzwa?
Tatizo mzee Kleruu alileta dharau, so Mwamwindi akamuonesha kwamba Wahehe hawapendi dharau, so kwa wahehe huyo ni shujaa na sio muharifu🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ukitoka hapo ongeza na expressway ya mchina alafu malizia na vi apartment nzee ndio maendeleo ya Kenya 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Maumivu haya, dogo kanajiliwaza kwa maneno, Dar haitajibu karne hii na kwa kizazi chenu, pengine vitukuu wakibahatika., nyie mnakufa kwa uswazi zenu.., apartments pia ni ndotoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bundle ndio mchawi wako πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Bado unapigia debe hiki kijiji cha kishamba, tazama kilivyochoka! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mm niko serious mzee ukipata street kama hzi mombasa za level hzi nitag mm nifunge acc wala sitanii najijua mwanza na pia naijua mombasa haya twende kazi 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
ichoboy01 hizi account za YouTube ni za kwako. Hmn. Maana hapa naona unatafuta views tu hamna lolote!!
 
Wasaidie wenzio kuwafuta kamasi kwanza🀣
pole, hauna pakutokea, pumzika tu, unajichosha bure..., Mwanza boy πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
pole, hauna pakutokea, pumzika tu, unajichosha bure..., Mwanza boy πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Heheh mm hua unanijua sina show mbovu kabisa manake najua mpaka alama za kweye vishundu vyenu hamuna chakunidanganya🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…