Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pumbavu Kigoma town CBD na Ujiji are two different places. Ujiji used to be an old colonial town within the larger Kigoma metropolis
 
Hii ikae akilini mwako gorofa la kwanza East Africa lilihengwa Dar es salaam mtaa huohuo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sawa mwanahistoria. Mwaka gani huo, tuchanue sisi tusiojua History.
 
Another one taking shape in the rural Kericho. It is going to be beautiful. Tanzania has no such things in towns nor in the villages. As we speak, Kenya has about 100 rural village road interchanges even in the remotest parts
 
Thamani ya miradi inayoendelea Kigoma Nairobi haioni ndani!
Kuna miradi ifuatayo ambayo pengine Kunya nzima hakuna
-Ujenzi wa SGR Tabora-Kigoma (Main Camp ni Uvinza?
-Ujenzi wa Station Kubwa ya Sgr Kigoma mwisho wa reli
-Ujenzi wa Barabara za lami za kuunganisha na Mikoa na Nchi jirani zaidi ya km 420
-Street roads za Km 11 Mradi wa Tactic plus mitaro
-Upanuzi wa uwanja wa ndege plus new terminal building
-Upanuzi wa Chuo Cha Taifa Cha Hali ya hewa Kigoma plus radar installation
-Ujenzi wa Tawi la Chuo Kikuu Cha Muhimbili
-Ujenzi wa Hospital ya Kanda ya Magharibi Kigoma
-Ujenzi na upanuzi wa Bandari ya Kigoma na Lagosa
-Ujenzi wa meli Mpya na Kiwanda Cha kuunda meli
-Ujenzi wa Chuo Cha TIA Kampasi ya Kigoma
-Ujenzi wa One Stop Inspection Centre Mpakani na Burundi
-Ujenzi wa Mradi wa Umeme wa Kv 400 Nyakanazi-Kidahwe
-Ujenzi wa Tawi la BoT Kanda ya Magharibi

Kiufupi Kigoma ni 🔥🔥.Waswahili wanasema Chelewa ila ufike

View: https://youtu.be/E_M9j_lx28g?si=rSHBtKzypdSbtxKK
 
Name all the current stealth 5G in operation… and show me anything better than the US arsenal….
Nimekujibu j20 and s57 zote ziko kwenye operations 🤣🤣🤣 ndio nishakujibu ingia googlea nenda usome about sukhoi s57 alaf rudi hapa tuongee
 
Tena Hapo kabla ya BRT lanes and Clean Sidewalk.
Unajua mtoto akizaliwa haanzi kutembea hua anatambaa anasimama ndio anatembea sasa nilitaka kwenda nae stage kwa stage 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Another one taking shape in the rural Kericho. It is going to be beautiful. Tanzania has no such things in towns nor in the villages. As we speak, Kenya has about 100 rural village road interchanges even in the remotest parts
View attachment 2800833
Mention them zifike 100 sasa hvi 🤣🤣🤣🤣 ww ukitumwa interchange unaeza peleka huo uozo
 
-Ujenzi wa berth mbili na chelezo cha Kisasa zaidi East and Central Africa over $300 mln project!
-Ukarabati wa meli zilizopo na Ujenzi wa meli mbili; wagon ferry na passengers ship (Mv Mwanza size)!
-Modernization ya MGR!



View: https://twitter.com/ChenMingjian_CN/status/1718242402392064467

View: https://twitter.com/ChenMingjian_CN/status/1717908742686036143


View: https://twitter.com/ChenMingjian_CN/status/1717788134379855961


View: https://twitter.com/tpa_tz/status/1711425816008044568


View: https://twitter.com/ChenMingjian_CN/status/1717546632709820688


View: https://twitter.com/ChenMingjian_CN/status/1717459428755022192


View: https://twitter.com/Mwanahalisitz/status/1712183293553033307
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…