Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya tulichoka na SGR tangu 2017. Danganyika bado hamjwahi experience SGR yani miaka 7 baadaye. Must be sad to be a Bongolala.
Failed one ambayo mpaka leo haijalipa hata centi moja ya deni la mchina ??🀣🀣🀣🀣 na bado inazalisha loss kwa kula pesa za tax payers

View: https://twitter.com/ntvkenya/status/1721145170945520011?t=Z9ZU8tmFuRVPacFRKMpPbg&s=19
View: https://twitter.com/ntvkenya/status/1720319972491079987?t=BvtMtTvvpnd6lF5Pp770Dw&s=19
 
Huwa nikipita kwenye hii thread huwa nashangaa akili za wakenya!!
Wengi wenu nyie hamna akili kabisaπŸ‘ŽπŸ‘Žkibarabara kimoja eti (wider roads) wingi wa nn?? Hiyo barabara hata sumbawanga ipo.
Tena sumbawanga ni wider and clean ina mpaka mitaro, pedestrian path za kisasa 🀣🀣🀣
 
Huwa nikipita kwenye hii thread huwa nashangaa akili za wakenya!!
Wengi wenu nyie hamna akili kabisaπŸ‘ŽπŸ‘Žkibarabara kimoja eti (wider roads) wingi wa nn?? Hiyo barabara hata sumbawanga ipo.
Wewe ni mgeni hapa jiulize kwanini wenzako wametulia, nionyeshe kitu Kama hicho CBD ya dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…