Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Masaki huiwezi ww achana nayo kabisa nilikwambia ukubwa wa masaki ni sawa na mombasa town yote πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Rudi kwenye mada kwanza πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Why do you guys lie so openly?… so you are saying Google earth is rigged ?….. wacha Ujinga..
 
Paved roads everywhere? πŸ˜‚πŸ˜‚
Same place
 
Hutaki tuone vumbi za Masaki? 🀣🀣🀣
Sawa basi, unataka nipost Sinza. Ndio hii hapa. Dreamhouses kila mahaliView attachment 2811754
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Unadhani ukipost hizi picha za zamani na picha mbovu,utabadilisha kinachoonekana ground kwasasa.??🀣🀣🀣
Si kawaida yenu kila kitu kibaya kinachoumbua jiji lenu ni picha ya kitambo. Kumbe hata brt nayo ni ya zamani hapo Dar?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tanzania Huwa hawapendi Mabasi ya Kunyaland,hiyo haipo tena Barabarani.

Nani apande Bus sura kama mtungi wa Chang'aa? πŸ˜‚πŸ˜‚
Sorry for deflating your ego. All Tahmeed buses are from Kenya and Tanzanians really love them. That's why in every five pictures you post, three will be of Tahmeed buses.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…