Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa haka ka Kampuni kamoja katawaongezea nini kwenye battle ya 100+ Tz bus companies.? 🀣🀣🀣
Sasa kampuni zenu na mabasi za kichina pia unapiga nayo kelele? And most Marcopolo buses in Tz are fake cause they are China madeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Si mnahangaika sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜… Again Tahmeed ni buses za Kenya that's why they are registered in Kenya and doing Kenyan routes.

View attachment 2812103
Mwenye tahmeed mama yake mzazi yuko tanga hapo kajengewa nyumba ya kifakhari😁😁😁mpaka joho asili yake ni tanzania tanga
 
Mwenye tahmeed mama yake mzazi yuko tanga hapo kajengewa nyumba ya kifakhari😁😁😁mpaka joho asili yake ni tanzania tanga
Tahmeed sio ya mtu mmoja. They're partners of which one of the partner is in Mombasa. Si ujiulize mbona gari zao zote are Kenyan registered? Jiulize why they are only doing Kenyan routes and in Tz it's only Dar-Nairobi, Dat-Mombasa and Dar-Arusha. Tahmeed is a Kenyan company.
 
Sasa kampuni zenu na mabasi za kichina pia unapiga nayo kelele? And most Marcopolo buses in Tz are fake cause they are China madeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wait, si wewe kila ukiona bus ya marcopolo ya Tz unasema "made in kenya by kunyans" now umechange imekua fake and made in China.

Kumbe nimepoteza muda kubishana na mtu ambae anaonaga bus mtandaoni ila anapanda Fuso.
 
The fake ones are those for Superfeo. Look at the windows are compare with other original Marcopolo. Hizo za Superfeo ndio zimetoka China.
 
Sasa kampuni zenu na mabasi za kichina pia unapiga nayo kelele? And most Marcopolo buses in Tz are fake cause they are China madeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkunya anabeza bidhaa ya china 🀣🀣🀣🀣🀣 while kila unachopost kujisifu nacho humu ambacho at least ni competitive to ours ni Chinese made. SGR, GTC towers, express way.. au unaongea hivyo kwasababu unaona kushindwa.? 🀣🀣 Maneno ya mkosaji. Sizitaki mbivu hizi ..
 
Point ni zile zile, Abiria hupati, upinzani mkubwa. Kuna watu washajijenga ruti hata uje vipi ni ngumu. So kachagua hiyo segment. Una elimu ya biashara, alafu anatumia hayo makarai yenu maana mmezoea Fuso State of art buses, so mkiona hilo karai jipya mnapiga kelele na mostly hampandi maana hammudu.
 
Mabasi za China ni cheap and fake. I have told you to check and compare the price of Zongtong to any Isuzu bus alafu urudi, ama Golden Dragon to Scania Touring busπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani wale wenye wanapanda hizi ni waganda?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kenyan products

Mm nikikwambia ww ni chizi basi ujue ni chizi kweli πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ww na mm ni nani anamjua mwenye tahmeed ??

Huyu ni tajiri asili yake ni tanga aliehamia mombasa ndio maana wazazi wake wapo tanga anabiashara tanzania na kenya

imagine all those armpits in that stuffy thing....weh.Mzungu nearly collapsed and gave up....
 
The fake ones are those for Superfeo. Look at the windows are compare with other original Marcopolo. Hizo za Superfeo ndio zimetoka China.
Hee! Makubwa. Superfeo ni fake? Kama zake ni fake zenu vipi?

Alafu nikuambie kitu, Bongo kuna madaraja ya mabus, Daraja la kawaida, daraja la semi-luxury, Luxury na VIP, sasa ukiweka order modification inahitajika kwa kila Daraja, Marcopolo za Kilimanjaro Express, Abood hazikua sawa na Luxury ya Dar Lux.

Fanya mdogo mdogo uupdate kutoka Fuso utaelewa.

Alafu hao wachina unaowadharau ndio walikuletea Garimoshi lenu, Expressway mnazojioshea kila siku humu.

Mbona hamuendi kwa mzungu wenu?
 
Sasa basi tatu unapiga nazo kelele? Hata Mash poa has two buses registered in Uganda. That doesn't make it Ugandan company. Unajua penye yard ya Tahmeed? It's in Mombasa.
 
Look at the windows alafu uniambie if that's original Marcopolo. Mnawekewa madirisha za Zongtong alafu mnapiga kelele hapa ati Marcopolo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hebu mention hao partners wa Ukunyani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…