Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,339
- 107,983
Kama state of the art bus ndio hilo lenye puti basi wakenya shikamoo kivumishi hakina thamani tena kwa midomo ya wakunya.
They actually used the previous tamko with minor edits π€£π€£π€£π€£
Maboresho ya kawaida ya njia ya reli, mifumo na equipmentJe pesa $1 Bilion (2.5T) zinaweza ku upgrade Tazara kuwa Sgr au itakuwa ni maboresho ya kawaida?
Why China is on track to control African mineral transport route via Tazara line
China set to upgrade vital African railway as the US and EU race for control of mineral trade routes.www.scmp.com
Karen isubiri kwanza ikapambane na kigogo. Masaki ni lidude likuuuubwaaaaThe same pic una post kila siku hvi ww unafkiri masaki utaiweza wewe ??π π π
View attachment 2811722
BRT has been there for almost 10 years. Kwenye transport sisi tumeendelea kitaaambo.Si kawaida yenu kila kitu kibaya kinachoumbua jiji lenu ni picha ya kitambo. Kumbe hata brt nayo ni ya zamani hapo Dar?ππ
Hivi km per liter ikoje kulinganisha na diesel au petrol?Kwahiyo unamaanisha Scania haina branch Dar?
View: https://twitter.com/scania_Tanzania/status/1409803385587503104
Home | Scania Tanzania
Welcome! Scania is a global company with sales of trucks, buses & services in more than 100 countries. Scaniaβs production units are located in Europe, South America and Asia.www.scania.com
Hii sasa ndio ingefaa lile jina la GREEN PARK πππππ, ZERO EMISSION.Leo nimepata bahati kubwa sana kutembelea HQ ya mikokoteni hub ya east and central Africa π€π€π€kwa kweli Tanzania tunatakiwa tuwaige kunyaland kwenye hii initiative ya eco green friendly of two wheels wakunya mnajitahidi sana View attachment 2811930 mnastahili recognition kwenye hii issue π€π€π€View attachment 2811931View attachment 2811933View attachment 2811935
Jamaa hana lolote acha tuendelee kumu enjoy π€£π€£π€£π€£π€£Kaongea Olunga mtu wa mpΓ¬ra yeye ni takataka gani mpaka abishe kwa mitazamo yake ya kibera?
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hii sasa ndio ingefaa lile jina la GREEN PARK πππππ, ZERO EMISSION.
Kwani ikilazimu ku upgrade kuwa Sgr ya kawaida kama ya Wakunya ita cost kipi zaidi ya kubadili hizo rails, slippers na mifumo?Maboresho ya kawaida ya njia ya reli, mifumo na equipment
Unabishana na tahira mwenye wivu hapo mkuu,inabidi umzoee hivyo hivyoWait, si wewe kila ukiona bus ya marcopolo ya Tz unasema "made in kenya by kunyans" now umechange imekua fake and made in China.
Kumbe nimepoteza muda kubishana na mtu ambae anaonaga bus mtandaoni ila anapanda Fuso.
Sio tatu ziko nyingi sana ukiachana na hayo pia ana kampuni ya malori tanzania π πSasa basi tatu unapiga nazo kelele? Hata Mash poa has two buses registered in Uganda. That doesn't make it Ugandan company. Unajua penye yard ya Tahmeed? It's in Mombasa.
Kitu hakina mwaka!Kwa kweli ichoboy01 naamini maneno yako kunyaland project nyingi white elephant hii hapa modern green bus park eco friendly terminus ukiingia unakutana na hiyo presentation View attachment 2812248View attachment 2812249π€π€π€π€π€
Fake ukimaanisha nn ??π π π π marcopolo za tanzania 99% zinatoka south africaLook at the windows alafu uniambie if that's original Marcopolo. Mnawekewa madirisha za Zongtong alafu mnapiga kelele hapa ati Marcopolo πππ
View attachment 2812129