Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyinyi mumeshinda nn ??πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Labda mumeshinda na njaa

Mtoto wa kiume unawivu kama nyako maber, kaza kipumulio hicho punda ww
Machoko wanakaa hivyo! Hawataki kuona Yebo stars ikiwa pale..
 
sasa tuambiwe yanja na simba zimeshinda nini africa...dimwits
 
Ukiona hivi ujue kameshapata kazi, hapo kanakuchokonoa ili ukaulize kuhusu job kakulingishie, nakajua vzr haka kajamaa 🀣🀣🀣🀣
 
Hiyo ni last time tukiwafanyia unyama AFCON
Ndiyo maana nkakuambia mwishowe utaweka matokeo ya Gor mahia akiifunga Yanga 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Mpira wa Tanzania kwa sasa umepanda sn, two years ago atleast ungeweza kuongelea Gor mahia na ukaitaja Yanga au Simba au Azam, ila kwa sasa ni vichekesho mtu ataje timu ya Kenya alafu apo apo ataje timu ya Tanzania na ndiyo maana timu yetu ya taifa inawakilisha EA kwenye AFCON.
 
Relax bongolala and take some chill pill. AFCON hatukucheza hata mechi za kufuzu because of the FIFA ban. Taifa Stars wamekuwa wateja wa Harambee Stars miaka nenda miaka rudi.

Unasema mpira yenu imepanda wakati mnasoma number yetu kwenye rankings za FIFA. Unaona unavyotoa povu?
 
Mumpite nani wkt ligi tu haichezwi huko kwenu 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Sasa hata kama mngecheza mechi za kufuzu kwa matokeo hayo mnayopata mngeenda AFCON ya kibera labda 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…