Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hiyo nani msimamizi? Pesa ipo Wizara ya Ujenzi na TanRoads ndio Wana procure wakandarasi makanjanja Kwa sababu wanahongwa.

Sasa hivi itawatokea puani

View: https://www.instagram.com/p/Cz-gFkVI_l_/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
Munataka kazi za mbiombio tu alaf mkiripuliwa kazi muanze kupanua pua zenu

Kila waziri sasa hvi kageuka kua chawa hata kama hakuna suala la muhimu atafanya liwe la muhimu kusudi tu lionekane

😅😅😅😅😅😅😅😅 itamtokea nani puani
Tanroad imefanya kazi ngapi kwenye nchi hii au unajua kupost hujui kusoma
 
Hakuna Cha mbio mbio, wakandarasi wengi wako nyuma ya mda na sababu ni kamfumo la upigaji na Rushwa pale Wizarani na TanRoads.

View: https://www.instagram.com/reel/Cz-h-hfoohn/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
Ukisoma ripoti za CAG utaona ambavyo TanRoads imeingiza hasara kwenye hii Nchi Kupitia riba za Kutengeneza na poor design.Jangwani na Kimara-Kibaha ni Baadhi tuu ya mifano Mingi iliyopo.
 
Huyo jamaa nilitaka kumuwashia moto ila nilivyosoma comments nikaona niuchune tu, watu wanamshangaa sana aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…