Acha upumbavu kuwa na gari sio sifa embu imagine hao wote wangekuja na magari wangepaki wapi na pia hiyo traffic ingekuwaje plus wanatunza mazingira.It shows poverty.
Everything hapo inaonyesha umaskini
US kila worker anatoka na gari yake Tena gari ya maana.
China ndio ifike level za US lazma wawe na economy Γ4 ya US.
HUWEZI KUWA superpower na per Capita less than 15k!!!!!
Manyangau walisema humu ndani piga ua Somalia haingii EA wataweka Veto π€£π€£π€£
Wewe nilishakuambia kwamba Somalia haiwezi kuingia EAC kwa sababu Kenya ita-veto hio decision. Ujue hakuna jinsi nchi mpya itaingia EAC ikiwa nchi yoyote itapinga. Kwa hivyo Somalia haiwezi kuingia EAC ikiwa Kenya itakataa. Decisions za EAC zinafanywa kutumia concensus yaani makubaliano. Hakuna kutumia kifua kwenye EAC lazima kila nchi ikubali ili jambo fulani lifanyike. Somalia haitaingia EAC. Simple tu. Somalia ni maadui wetu wa jadi na hatuwezi kukaa kwenye nyumba moja na wao.
Have you ever seen Isuzu bus Europe au America?Unataka za 200-300 nikuonyeshe?
Ama unataka za 300-400 pia nikuonyeshe?
Alafu kitu unafaa ujue Isuzu is more expensive kuliko those Chinese boxes you have in Tz.
Wala huna haja ya kuhangaika na hiyo taarifa yake, ukitaka kujua how better we are in entertainment we pitia tu YouTube Kenya utaona vile wasanii wa Tz wanavyo trend hadi no 1 .. pitia movies za kitanzania huko YouTube uone walivyojazana kujiponda na kutupea maua yetu.. yani kiukweli huyo teargas ni mpumbavu sana huyo sio wa kubishananae.Send me the link to the information you shared earlier so I can take a closer look at it
Kwenye kila maneno 10 ya mkunya chukua ...... utembee π€£π€£π€£π€£Receipt hii hapa π
Kama huna Netflix jiongelee. Kwanza free subscription iliisha kitambo sana huku Kenya.Anayekupigia kelele za Netflix unaweza kuta wala huwa halipii anawasumbua tu bure humu.
Ni masikini ndio maana kuna kipindi Netflix waliwapa wawe wanatumia bure bila kulipia. πππ
View attachment 2825130
Hata in the next two years I'll still have itπππIla we jamaa unatunza simu si mchezo, hii simu unayo tangu mwaka juzi mpk leo unayo, huwa haina chaji siku zote, alafu ukiangalia vizuri utagundua hii ni simu jamii ya Tecno, hongera.View attachment 2825236
Cha ajabu is that majority of Tanzanians can't afford Netflix.sasa nini cha ajabu?
Professional buses ni zile fake Chinese boxes mnanunua? So you want to tell an investor can afford to use ksh264M on 60 shuttles but can use the same money which is enough to buy 20 Chinese buses?πππStop increasing carbon emissions idiots, kivipi vigari vya delivery mnavimolest kuwa for intercity transport? Mafukara nyie hamna pesa za kununua professional buses, ni either mafuso au delivery carts πππ
So siku hizi watu wanawezajua make ya simu and how long it has been in operation by just looking at a screenshot image captured by that phone? How dumb!!Ila we jamaa unatunza simu si mchezo, hii simu unayo tangu mwaka juzi mpk leo unayo, huwa haina chaji siku zote, alafu ukiangalia vizuri utagundua hii ni simu jamii ya Tecno, hongera.View attachment 2825236
Ziko mob sana.Have you ever seen Isuzu bus Europe au America?
Most of these people are just dump, especially that watchman guy. I can remember in 2018 when they were saying that the WiFi I was using ilikuwa ya Uhuru Park.So siku hizi watu wanawezajua make ya simu and how long it has been in operation by just looking at a screenshot image captured by that phone? How dumb!!
Where did you learn this bongolala? I would love to enroll for classes.
Talking of phones, unaongea wakati wewe ni wa kununua bando wakati huyo jamaa anatumia WiFi kwake. Huoni hata aibu?
Alafu screenshot yako inaonyesha simu umeweka vibration kama mwizi!!
KFC is not for the poor, that's why I have said middle income. Alafu ebu niambie ni nani amekufa njaa this year.Na bado mnakufa njaa kama panya ππππ mnazihitaji KFC million 30 njaa ikome
Kwa ndege where the toilet is and where the passengers are different. Again in the plane once it has been flashed the feaces move to lower side of the plane far away from where passengers are.Travelling with faeces kwa bus ni stupid sio je kwa Kenya Airways utaita nini? Kweli wewe ni kichaa π€£π€£π€£
Ushawah jiuliza kwann china ndio tishio kubea duniani?? Ushawah jiuliza kwann mzungu halali akimwaza mchina ??π π πIt shows poverty.
Everything hapo inaonyesha umaskini
US kila worker anatoka na gari yake Tena gari ya maana.
China ndio ifike level za US lazma wawe na economy Γ4 ya US.
HUWEZI KUWA superpower na per Capita less than 15k!!!!!
We have dedicated refreshment areas where buses stop and passengers can go the toilet and others can get something to eat.Inaitwa convenience kijana sio nyie mnakojoa on the road side.
KFC is not for the poor, that's why I have said middle income. Alafu ebu niambie ni nani amekufa njaa this year.
Tanzanians will forever remain idiots πππ. Who told you the strength of entertainment industry is determined by the YouTube number? Again those YouTube figures are only accelerated by Kenyans. Meaning entertainment is stronger in Kenya than Tz. Criteria used to determine the strength of entertainment industry is the revenues generated through entertainment. These revenues come from social media and traditional media channels like radio and TV stations and also through concerts and parties.Wala huna haja ya kuhangaika na hiyo taarifa yake, ukitaka kujua how better we are in entertainment we pitia tu YouTube Kenya utaona vile wasanii wa Tz wanavyo trend hadi no 1 .. pitia movies za kitanzania huko YouTube uone walivyojazana kujiponda na kutupea maua yetu.. yani kiukweli huyo teargas ni mpumbavu sana huyo sio wa kubishananae.
Hizo chips zenu ndio tunaita chips mwitu. Yani chips bandia, there's no quality control done when cooking them.Yani mtu aache kula chips kwa mpemba au kwa edo... Chips mazaga zaga kama yote mixer ukwaju akale hizo Kau Kau za Kentucky ambazo hata haushibi?
Njoo bongo ule chips za kitaa halafu ufananishe na hizo KFC zako...