Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Somehow, BRT may never work in Kenya especially in Nairobi. Nairobians have a kind of culture that makes implementation of BRT quite difficult.

I don't think BRT is gonna happen in Nairobi any time soon. Mombasa will get BRT but Nairobi I doubt.
Culture gani we kima.? 🀣🀣🀣 ulifkiria BRT ni githeri.? U can't afford. Full stop.
 
I think ni muda sasa wa kuona private investments zinawekwa hapo. Eneo kubwa la mji ambalo lipo well planned na lami kali kabisa bado linaonekana lipo empty.. what's their plan.?
In most cases such projects should be private driven. Many of such projects that are government driven normally end up ghost towns. Even if it is a government initiative, let there be a PPP arrangement.
 
Culture gani we kima.? 🀣🀣🀣 ulifkiria BRT ni githeri.? U can't afford. Full stop.
Shida ya Watanzania huwa mnaropokwa kabla kufikiria. Na sasa wewe mtu mzima huwa unapata nini na haya matusi yako ya kitoto!? Dalili za mtu hana akili.
 
Meanwhile, Mwanza has no traffic lights.
Hizi picha nilibahatika kupiga mwaka jana kwenye maeneo kadhaa ya jiji la Mwanza, wala sikua najua kama kuna siku nyie wapumbavu mtauliza kuhusu traffic lights za Mwanza humu ndani, luckly I did.. heb fumbua macho we kima πŸ‘‡nyingineπŸ‘‡tenaπŸ‘‡ingineπŸ‘‡nyingineπŸ‘‡hiki ni kitu cha kawaida huko Mwanza traffic lights zipo kaziru kila sehemu yenye msongamano.
 
Somehow, BRT may never work in Kenya especially in Nairobi. Nairobians have a kind of culture that makes implementation of BRT quite difficult.

I don't think BRT is gonna happen in Nairobi any time soon. Mombasa will get BRT but Nairobi I doubt.
And it will never happen kwasababu mji ni mdogo sana na haukupangika kwa ajili ya BRT, mwanzo mlijua BRT ni kama kula githeri mukapaka makeup mukadhani ndio BRT😁😁
 
This road is 7Km all through. Look around the whole of Tanzania and find one like that.
View attachment 2835500
View attachment 2835502
View attachment 2835504
Hii barabara yako ni chafu, Ina vumbi na haina viwango ukizingatia vigezo vyote (greenery, pavements, and the soroundings) kulinganisha na hii 6kmπŸ‘‡ where it startskatikati ukiwa unaendesha πŸ‘‡unaona mazingira inayokatiza hii barabara πŸ‘‡halafu unakuja kuishia huku πŸ‘‡.. so hii barabara ndio barabara enye basic four lanes ambayo ni the best in the region. Wala huwezi taja takataka yoyote beyond it
 

Picha ya Kwanza Na ya tatu pekee ndio traffic lights, hizo zingine ni Street lights.
Street lights ndio unaita traffic lights? Hata kijijini mwangu Kuna Street lights
 
Yani tukiweka estate streets lazima mtafute hiyo main road yenu moja ya Tanzanite bridge ndio mfananishe.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Picha ya Kwanza Na ya tatu pekee ndio traffic lights, hizo zingine ni Street lights.
Street lights ndio unaita traffic lights? Hata kijijini mwangu Kuna Street lights
Utakunya kwa wivu, baada ya kuona madai yako ni upuuzi mtupu umekimbilia kusema zingine sio traffic lights 🀣🀣🀣🀣. Wewe ni mpumbavu. Sina muda wa ku zoom mimi your claims can't change nothing.. traffic lights kwa Mwanza zipo karibu maeneo yote muhimu ya katikati ya mji na nje pia.. I've just decided to show you kwamba wewe ni kima unavyonaia eti Mwanza hakuna traffic lights eti kwasababu Kisumu ndio imepata moja this year. 🀣🀣🀣 Mimi nilifika Mwanza my first time 2018 na nilizikuta mingi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…