Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lazima uufyate ila ukijifanya Chadema utapotea
Siwezi potea na hakuna mtu wa kunipoteza kwenye nchi hii,labda tukupoteze wewe.........Ningekuwa na uwezo kila Mtz ambae ni Mwana CCM ningempoteza ili tubaki watu wenye akili tuijenge upya nchi yetu isiokuwa na Uswahili na Uchawa
 
Nov 2022 kweli??😁😁😁😁
Watu wanakupa habari ya jana ww unaleta ya mwaka jana??
View attachment 2844127
Na hiyo ilikuwa ni tatizo la engine kwenye A220 karibia zote kwenye nchi mbalimbali na watengenezaji walishahuri zipakiwe kwanza kwa ajili ya marekebisho.
Maana naona anatafuta pa kutokea. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Anaumia sana na mm nafurah sana kuona akiumia πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… sasa hvi huskii akiongelea masaki maana ndugu yake kashamwambia kua masaki ni ngoma nyingine
 
Eboo em tumpuzishe kidogo sisi tuna international stadium yenyu ni so local tanzo bado nyie mko chini😎😎😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…