Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi hawa wakunya wanaona quality ya workmanship kwenye hivi vyombo ukilinganisha na vyao ama ni blind patriotism ndio inawasumbua?
Dunia nzima inatumia chinnese bus wao sijui wako ulimwengu gani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

England hii πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡








Colombia πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Teargas mchina anauza bus ulimwengu mzima na yeye ndio anaeongoza kwa mauzo ya bus ulimwengu mzima hakuna nchi haitumii bus za kichina tena kwa wingi hakuna na haitakuwepo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Hata turkey ni mabingwa sana wakutumia bus aina ya benz ila kwa sasa wame shift kwenye chinnese modern bus kwa fujo, nchi za kiarabu ndio kabisaa kila kona ni bus za kichina na ndio matajiri wa ulimwengu hao

Hata nyinyi mushanza kununua chinnese bus kwa fujo na bado time will tell 😁😁😁😁

Tayar kampuni ya howo imeweka plant kigamboni wataanza ku aseemble trucks including tippers alaf za ndani kampuni za bus za kichina wako mbioni kuweka plant yao tanzania kwasababu karakana yao soon wanaizindua ambayo itahudumia east and central africa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Tz upinzani Bado hawajajipanga
 
kwani kwenye hizo points ni za simba pekee? za yanga hazipo hapo? msimu uliopita Yanga kacheza fainali unaonaje hapo? sasa nasemaje kila mtu ashinde mechi zake, tuone nani mkubwa.
 
Ni kweli mwaka huu mngeingia ki vyovyote ila kama msingekuwa mabingwa, bado mgekuwa na nafasi kwasababu ya rekodi tuliyoiweka. Tusiongee mengi, tusubiri tuone nani atafika mbali CAF.
sawa sawa mkuu, tusubiri tuone. hakuna visingizio vya point mana kama point sio za Simba pekee, Yanga msimu uliopita kaipa hii ligi points nyingi sn kwa kucheza kwake fainali ya confederation.
 
champions league imeanza lini na Simba kacheza lini hiyo semi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…