Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Amemtapeli nani?? Kati ya Samia na Maria Sarungi nani tapeli??

Samia kauza ngorongoro,kauza bandari na sasa anataka kufanya awezalo JNHP isikamilike kwa wakati ili mambo yake ya kifisadi yakamilike
Kubwa jinga 🀑🀑
 
Kwenye hili kweli mmetushinda!! TTCL ingechangamkia hii fursa!! Maharage angechamgamka pale. Miundombinu tayari ipo kwa TTCL, na waweke bei RAfiki kama za zuku!!
 
Kwenye hili kweli mmetushinda!! TTCL ingechangamkia hii fursa!! Maharage angechamgamka pale. Miundombinu tayari ipo kwa TTCL, na waweke bei RAfiki kama za zuku!!
Wametushind wapi mzee hawa watu ni wazew wakupika data ili waweze kujidanganya ndio maana data zao ukizifatilia over 95% zote zimepikwa, ikiwa wanapika mpaka data za uchumi wao watashindwa kupika data za internet πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kuna kipindi walileta link hapa kua 60m kenyans wanatumia internet tukawauliza mpaka watoto wachanga wanaozaliwa leo wanatumia internet wakakimbia πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Usimuamini mkenya hasa anapoleta data tuulize sisi tuliotembea kila mara kenya tunaijua in out
 
Sasa hivi mtamuona Zakayo akikwea pipa kwenda korea kusini 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…