Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata kwenye statistics za Utalii wao , Watanzania ni top 5
 
Ndio nilikuwa namwambia huyu Mkora!

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1747069466536513792?s=20

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1747182954307039486?s=20
 
Fuatilia walioipokea Mombasa walisherehekea kwamba meli kubwa imegungua mwaka Mombasa Port.
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 2873629
Uliona wakenya wakipost hapa hizi utoto ama Twitter!!!
Tumezoea bigger ships zikiingia Mombasa kila wiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…