Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hilo kombe unalotambia la Gormahia ni level ya tatu na lishafutwa halina thamani we Mkenya.
Ukitizama historia basi Brazil ingebaki kuwa timu bora duniani.
Sawa mmetuzidi ila hamjasogea mmeganda hapo hapo nafasi ya 110 Tanzania tumetoka nafasi ya 135 mpaka 121.
Tunasogea kaeni kwa kutulia.
Ukisema kuhusu wachezaji hata sisi tuna wachezaji wengi ulaya kwasasa.
Wengine wameshindwa kuja kwasababu ya kukosa uraia pacha.
 
Miaka hiyo wakati Tanzania ikiwa na sanctions
 
I can see we are heading somewhere. Wewe sio mbishi kama wengi wenu hapa. At least umekubali kwamba kwa sasa we are ahead of you in football. Heshima basi idumu hadi ile siku mtatupiku if at all it will happen in our lifetime.

Have a good day!
 
Hawa kondoo ni mashindano gani ya kimataifa timu zao za mpira zinashiriki?
Hili swali mbona halijibiwi! 😂😂😂
Hazishiriki because of the FIFA ban. Is your question answered ama bado unauguza majeraha kutoka Lusaka na Rabat?
 
I can see we are heading somewhere. Wewe sio mbishi kama wengi wenu hapa. At least umekubali kwamba kwa sasa we are ahead of you in football. Heshima basi idumu hadi ile siku mtatupiku if at all it will happen in our lifetime.

Have a good day!
It will happen do not worry is just the matter of time.
We do climb too fast to the top of other numbers.
Piga mahesabu toka nafasi ya 135 mpaka 121 utajipa jibu.
 
nyinyi ni kushiriki tu milele..yaani kusindikizana tu
Hata club bingwa tukawa tunasindikiza mwishowe tukawa tunafika mpaka fainali.
Na hata Afcon tutafika mbali,tulikotoka kubovu kuliko tunakokwenda we are evolving kijana.
 
WAFCON?
CAFCL?
Non football country.
FIFA ban affects all footballing activities in a country wewe kilaza wa bongo.

Non-football country ambayo iko ranked mbele yenu na iliwatwanga AFCON? 😂
 
It will happen do not worry is just the matter of time.
We do climb too fast to the top of other numbers.
Piga mahesabu toka nafasi ya 135 mpaka 121 utajipa jibu.
Tel
It will happen do not worry is just the matter of time.
We do climb too fast to the top of other numbers.
Piga mahesabu toka nafasi ya 135 mpaka 121 utajipa jibu.
Tell me, mara ya mwisho Tanzania kuwa ranked ahead of Kenya ilikuwa mwaka gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…