Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani zitakuwa zinafanya kazi tofauti? Mlikuwa mnakesha hapa mkiulizia bus stand za Kenya and there they are. Ama mlikuwa mnadhani haziko?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
Ndugu wanasiasa wenu wanajua kula hizo hela za nchi kwakua wanajua hamjui kuuuliza nyie ni kulilia ugali tuu ndicho kilichopo akilini.
 
SamiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Hata sijui mbona tunapingana na wenye wafikiri Nairobi ni London. Hadi President wai anatamani kuja kuishi Nairobi πŸ˜‚
 
Huoni hapo kasema miaka ya themanini? Sasa weka picha za stendi ya hapo naipori tuone hiyo London yako unayoiongelea😁😎
Sasa soma the second page first paragraph. "Today I can say without a pinch of doubt that Nairobi has not lost it's luster" meaning bado ni London kwa watanzania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…