Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakunya Wana njaaa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†View attachment 2888864
πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„.
Hii ripoti kaka naikataaa.
Ya uongo,Somalia na Mali ni nchi ambazo mwaka jana WFP ziliwapa misaada ya chakula zilikumbwa na intensive hunger and famine.
Kama Mali na Somalia ipo katika list hiyo list batili.
 
,🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣.
Qumamaqeeeee.
Hawa jamaa wana roho mbaya kisa kodi unamchomolea paa mwenzio!??😟😟😟
Mpaka nataka nilie daah😭😭😭😭
Achana na Kodi hiyo ni Banda la ng'ombe au Banda la binadamu duu usikute tunabishana humu kumbe kanairo wanaishi kwenye hayo mabanda
 
,🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣.
Qumamaqeeeee.
Hawa jamaa wana roho mbaya kisa kodi unamchomolea paa mwenzio!??😟😟😟
Mpaka nataka nilie daah😭😭😭😭
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣wenzetu wana roho ngumu sana 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Hata kuvumiliana hawajui!??
Kweli ukiweza kuishi Kenya wewe hata Haiti unaishi .
wobongo tulivyo caring πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hawa sio wenzetu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…