Ni kingereza huelewi, au hujui kusoma. Imeandikwa vizuri, SPECT CT not PET CT.Check hapa
USIMIKAJI WA MASHINE YA PET/CT SCAN
View attachment 2890191
View attachment 2890192
View attachment 2890193
Tatizo mzee unakurupuka tu hufanyi hata research. Hapo mmepigwaNi kingereza huelewi, au hujui kusoma. Imeandikwa vizuri, SPECT CT not PET CT.
View: https://x.com/kutrrh/status/1736686184959467535?s=20
Ngoja nikung'ang'anie hapa utaniita baba leo. Tanzania tununue kitu kwa kubahatisha. Wewe mshamba kweli. Huoni hapo wameandika Just like PET. Huoni kuwa wanajitetea? 🤣 🤣 🤣 🤣Ni kingereza huelewi, au hujui kusoma. Imeandikwa vizuri, SPECT CT not PET CT.
View: https://x.com/kutrrh/status/1736686184959467535?s=20
Sasa kwani unataka iweje ? What is your point ?Hata Thika haiko Nairobi. Hii Dar is a slum yenu imezungukwa na vijiji tu.
Usiwe unakurupuka mzee. Unakaleta ka kitu kadogo hako. Uliona lakini mtambo ulivyo mkubwa?Ni kingereza huelewi, au hujui kusoma. Imeandikwa vizuri, SPECT CT not PET CT.
View: https://x.com/kutrrh/status/1736686184959467535?s=20
Yaani umenitukana kwa ujinga wako. Kujiona mjuaji kumbe hujui. Nataka JF ijue kuwa wewe ni mjinga.Ni kingereza huelewi, au hujui kusoma. Imeandikwa vizuri, SPECT CT not PET CT.
View: https://x.com/kutrrh/status/1736686184959467535?s=20
Unaua mbu kwa jegeja kaka.Yaani umenitukana kwa ujinga wako. Kujiona mjuaji kumbe hujui. Natala JF ijue kuwa wewe ni mjinga.
View attachment 2890256
Amezingua sana. Badala angekausha tu yakapita. Jamaa anaanika ujinga wake. Na atanikoma kwa jambo hili. Jamaa kanitukana kabisa. Ameona eti kwasababu SPECT ina herufi nyingi so akaona ni better than PET. Yaani akichungulia tu namkumbusha jambo hili. 🤣 🤣 🤣Unaua mbu kwa jegeja kaka.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mpe hii akalale sasa 😅😅😅😅Amezingua sana. Badala angekausha tu yakapita. Jamaa anaanika ujinga wake. Na atanikoma kwa jambo hili. Jamaa kanitukana kabisa. Ameona eti kwasababu SPECT ina herufi nyingi so akaona ni better than PET. Yaani akichungulia tu namkumbusha jambo hili. 🤣 🤣 🤣
Hatarudi tena atawatuma jamaa zake watuoneshe majengo ya GTC. Bure sana hawa watu.
Anabadilisha id sasa hvi utaona teargas inaanza kazi 😅😅😅😅😅Hatarudi tena atawatuma jamaa zake watuoneshe majengo ya GTC. Bure sana hawa watu.
Hatarudi tena atawatuma jamaa zake watuoneshe majengo ya GTC. Bure sana hawa watu.
Hatarudi tena atawatuma jamaa zake watuoneshe majengo ya GTC. Bure sana hawa watu.
Hawa jamaa wakikaa kwenye vijiwe vyao wanadanganyana sana. Wanapoujua ukweli wanakimbia.
Wakati nyinyi mmejazana hapa na unaona mko na àfueni kutuzidiSasa hii nyumba unauziwa halafu kiwanja uje nacho au? We Mpumbavu kweli, mngekua na uwezo wa kupata nyumba za bei rahisi hivi na bora msingejazana kwenye hayo magereza yenu mnaita apartments
View attachment 2888141
Umetumwa kuja kuzima upepo 🤣 🤣 🤣Wakati nyinyi mmejazana hapa na unaona mko na àfueni kutuzidi
View attachment 2890263View attachment 2890264View attachment 2890265
Tatizo wamejiaminisha kichwani kabisa kuwa watanzania hatujui Kiingereza; yaani ni wao tu. Upuuzi mtupu😁😎Hawa jamaa wakikaa kwenye vijiwe vyao wanadanganyana sana. Wanapoujua ukweli wanakimbia.
Yaani 15B machine hiyo siyo ya mchezo.
Ila mzee hapo Tesla ni SI of magnetic induction haimaanishi Tesla brand!Mzee unadhani Tanzania ni Kenya 🤣🤣🤣
Radiology
Muhimbili National Hospital Mloganzila is a 608-bed hospital in Dar es Salaam,Tanzania.It is the National referal hospital.www.mloganzila.or.tz
View attachment 2889920
Wacheni kuchanganya madesa! Tesla hiyo ni kipimo!👇👇👇 Tesla ipi 1.5 or 3
View attachment 2889930