Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jeshi Leni ni waogo ndio maana wanauliwa kwa mapangaπŸ˜‚πŸ˜‚
Walikua katika peacekeeping mission hawakuruhusiwa kufanya engagement yeyote.
Ndio maana walivaniwa tena usiku wakiwa wamelala.Cha ajabu wenye mapanga wamekimbia.
 
🀣🀣 Nimecheka sana. Nimeona Data za 2020 miaka 4 iliyopita. Nilipoangalia Kenya nilitoa machozi Almost all Kenyans live in Slums 🀣🀣🀣
Kenya 51% and Tanzania 41%.
 
Walikua katika peacekeeping mission hawakuruhusiwa kufanya engagement yeyote.
Ndio maana walivaniwa tena usiku wakiwa wamelala.Cha ajabu wenye mapanga wamekimbia.
Waliuliwa kwa mapanga.
 
The day that poor army will own a fighter jet mniambie.

KDF

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…